Kwanini nyumba Tanzania zinauzwa bei sana na hazina uzuri wala ubora?

hata kupanga tu ni mtihani mzito. Nilimtembelea babu yangu mtaa wa Sea View karibu na nyumbani kwa Rais Mwinyi, akanambia kuna apartment imepakana na nyumba ya Malecela inapangishwa kwa 5000USD kwa mwezi, nilipoiona nilichoka.
 
Nyumba za ovyo sana, yaani nyingi zinazouzwa ni kama mmiliki kaisusa au kaitelekeza.

Ingia ndani jikoni na vyooni mpaka kinyaa. Nje mazingira ya ovyo.

Nenda kasome bandiko la bei aliloweka dalali sasa wizi mtupu
Ndo hivyo watu walivyo.
Watu wachafu sana
Wanajua kujaza mataa, rangi

Unakuta bafu kubwa afu halina kitu, jingine dogoo hata kugeuka huwezi

Vyumba sasa hewa hakuna kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…