Kwanini Ole Sabaya anashtakiwa kesi moja baada ya nyingine badala ya kesi moja yenye mashtaka zaidi ya moja?

Kwanini Ole Sabaya anashtakiwa kesi moja baada ya nyingine badala ya kesi moja yenye mashtaka zaidi ya moja?

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Kweli ni magumashi ya kulipiza kisasa baada ya kushughulika vema na ufisadi hai.

Tumeona washitakiwa wengine wenye kosa zaidi ya moja kufunguliwa kesi moja na kisha kutumikia hukumu moja kwa makosa yote. Ila kwa sabaya wanamshitaki kesi tofauti ku maximise kifungo na kumdhalilisha.

Hebu wanasheria waje huku kuhusu mtu kashafungwa halafu analetwa mahakamati kwa kesi nyingine kesi ambazo zimefunguliwa wakati mmoja.

Mabwanyenye wa kimachame mungu anawaona.
 
Alishitakiwa kesi nyingi kwakuwa hazina uhusiano wa kuziunganisha kuwa makosa ndani ya kesi moja
 
Back
Top Bottom