cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mtu mwenye haiba ya kike ambaye haingiliwi sio msenge kuwa muelewa jamani, aliyekuambia hormonal imbalance na usenge wapi na wapi??Mbona nimeshaeleza, msenge ni mtu mwenye haiba ya kike. Sasa kama haingiliwi anabaki kuwa msenge tu, na si shoga.
Msenge ni mwanaume yoyote anayeingiliwa tyuuh, hata awe baunsa au komando. Afu ujue usenge uko ndani ya ushoga, yaan ni tawi LA ushoga, sasa utatenganishaa vipii??
Kwa kukusaidia katafute jina halisi LA wanaume wenye hormones za kike, ila ukisema usenge tayari ushawaweka ndani ya ushoga hata km hawako huko
Kuwa muelewaaaaa.