DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Sahihi kabisa. Kule kunesanesa kumewapagawisha vyuraQuality
Wewe jamaa umeanza tabia kama za Popoma! Yaani unauliza vitu ambavyo havina tija!Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari.
Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi wamempigia kampeni ya UMVP ila taifa lake wala halimuwazii.
Wengine mapema sana tuliwahi kusema kuna viashiria vya matumizi ya madawa ya kusisimua misuli.
Anacheza basketballMpanzu kaitwa?
Juzi nilimuona Mpanzu akichezea timu ya taifa ya Congo.Kuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari.
Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi wamempigia kampeni ya UMVP ila taifa lake wala halimuwazii.
Wengine mapema sana tuliwahi kusema kuna viashiria vya matumizi ya madawa ya kusisimua misuli.
Eti wanatokea kwenye bodaboda da!🤣Taifa lake Lina ushindani mkubwa,wachezaji wenye kiwango kama chake ni wengi,na wengi wao wanachezea timu za ulaya,wenzetu wameendelea ,wanakuza vipaji vingi kwenye academy zao,tangu wakiwa watoto vipaji vinakuzwa.sio kama uko kina mzize wanatokea kwenye boda boda.ila kama angetokea uko mzize saivi angekua anachezea ta madrid
Sheria ya FIFA inataka mchezaji acheze siyo kuitwa tu.Kupenya timu ya taifa ivory coast kwa kutokea ligi ya bongo sio mchezo. Hata hiyo mara moja apongezwe.
Huenda hiyo mara ya kwanza jamaa walimuita ili kuzuia wasimpoteze endapo akiitwa na timu ya taifa nyingine. Maana kwa sheria za FIFA mchezaji aruhusiwi kuchezea mataifa mawili.
Sema wamembania mwamba wasingemuita ile mara ya kwanza huyu tungempa uraia acheze taifa staz
Ukijumuishwa tu kwenye mechi ya mashindano imeisha hiyo hata kama ukikaa benchi. Labda uitwe kwenye friend game hapo ndio unaweza kucheza kubadilisha timu ya taifaSheria ya FIFA inataka mchezaji acheze siyo kuitwa tu.
Sidhani kama uko sahihiUkijumuishwa tu kwenye mechi ya mashindano imeisha hiyo hata kama ukikaa benchi. Labda uitwe kwenye friend game hapo ndio unaweza kucheza kubadilisha timu ya taifa
Pacome alivyoitwa ivory coast kama alijumuishwa kwenye kikosi siku ya mechi basi hawezi kuchezea taifa jingine hata kama alikua sub ambayo haikutumika. Labda kama ile mechi ilikua ya kirafikiSidhani kama uko sahihi
Falsafa/mfumo wa kocha ndio unachagua aina ya wachezaji hiyo ni ngazi ya chini kabisa ya kuelewa mpiraKuna watu wamempigia chapuo huyu Pacome, mara sijui anastahili uMVP mara hivi, cha kushangaza huyu jamaa aliitwa timu ya taifa kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutatanisha akiwa majeruhi baada ya hapo kwishnehi, hatusikii tena hizo habari.
Ametoka katika msimu ambao mashabiki maandazi wamempigia kampeni ya UMVP ila taifa lake wala halimuwazii.
Wengine mapema sana tuliwahi kusema kuna viashiria vya matumizi ya madawa ya kusisimua misuli.