Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

Kwanini Pacome haitwi tena kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast?

Pacome alivyoitwa ivory coast kama alijumuishwa kwenye kikosi siku ya mechi basi hawezi kuchezea taifa jingine hata kama alikua sub ambayo haikutumika. Labda kama ile mechi ilikua ya kirafiki
Nimemuona Wan Bissaka anachezea DR Congo jana na alishawahi kuchezea England
 
Ngumu Sana, Wana wachezaji wengi wenye exposure wanacheza Ulaya. Ingekuwa ni TZ pacome angeanza Kila siku, wale Wana Kina Amadi Dialo hawana muda kabisa.
 
Aliitwa kipindi fulani, lakini maboss zake wakasema kijana ni majeruhi, lakini jamaa wakamtaka hivo hivo.

Sasa, alivyofika daktari wa timu kampima kijana, akagundua kijana hana majeraha ulikua ni uongo kutoka kwa maboss zake.

Kumbe kijana bhana anajibusti, ko inaonekana maboss zake walikua wanajua kinacho endelea ndomana wakatoa taarifa ya uongo ili kuficha wanachokijua.

Ko yakafanyika makubaliano, nao shirikisho wakaungana na maboss kumtunzia siri kijana maana ndo maisha yake na baadae kuachana nae asijeingizwa matatizoni.

Sasa, tukirudi kwenye mada. Mungu akipenda Pacome ataitwa tu timu yake ya taifa maana kiwango kipo.
 
Back
Top Bottom