Aliitwa kipindi fulani, lakini maboss zake wakasema kijana ni majeruhi, lakini jamaa wakamtaka hivo hivo.
Sasa, alivyofika daktari wa timu kampima kijana, akagundua kijana hana majeraha ulikua ni uongo kutoka kwa maboss zake.
Kumbe kijana bhana anajibusti, ko inaonekana maboss zake walikua wanajua kinacho endelea ndomana wakatoa taarifa ya uongo ili kuficha wanachokijua.
Ko yakafanyika makubaliano, nao shirikisho wakaungana na maboss kumtunzia siri kijana maana ndo maisha yake na baadae kuachana nae asijeingizwa matatizoni.
Sasa, tukirudi kwenye mada. Mungu akipenda Pacome ataitwa tu timu yake ya taifa maana kiwango kipo.