Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Tafuta mchezo wa kushangilia au Rudi FacebookKibaden alifunga magoli halali, sio hayo ya offside na faulo ndio maana hawataki rekodi nzuri ivunjwe.
✋Kibaden alifunga magoli halali, sio hayo ya offside na faulo ndio maana hawataki rekodi nzuri ivunjwe.
Wamezoea ujinga huu kama msimu uliopita kwa Saido.Kupiga penati mara nyingi hufanywa na mchezaji aliyeaminiwa na timu nzima. Na siyo kwa ajili ya mchezaji fulani kujiongezea idadi ya magoli.
Lakini huu ujinga mlifanya msimu uliopita kwa SaidoNadhani ujanja ni kupiga goli 3 tatu bila kulilia penalt wala Faul.
Timu nyingi Duniani zinakuwa na specialist wa penalt na Faul.
Yanga walikiwa na Juma shaban na Dikson Job.
Pakome alikuwa mpigaji Penalt Asec nadhani ndio mwenye jukumu la kupiga penalt za yanga kwa sasa.
Siendelei kusoma comments zingine, umemaliza kila kila kituKupiga penati mara nyingi hufanywa na mchezaji aliyeaminiwa na timu nzima. Na siyo kwa ajili ya mchezaji fulani kujiongezea idadi ya magoli.
Ona zezeta hili.Uchawi.
Masharti ya mganga lazma yazingatiwe.
Pacome kakosa yeye na kipaDu! Rekodi ya Hat-trick ya Kibaden kumbe nayo ilikuwa ivunjwe jana!
Pacome naye angekuwa makini Rekodi ya Goli 7 ilikuwa inawekwa jana...
Ile ya Mzize angetumia akili kidogo tu lilikuwa goli lile, angeiminya pembeni kidogo Kisha aachie bonge la mshuti.Pacome kakosa yeye na kipa
Zengeli naye baada ya kupata goli kapata clear chance akamlenga Manula akaicheza.
Kuna counter attack moja ilikuwa matata sana baada ya wachezaji wa Yanga kuwin mpira zikagongwa pasi chache za haraka haraka kisha mpira ukapigwa mpaka alipo Mzize, ikawa ni one against one ilikuwa Mzize atumie maarifa tu akamsalimie Manula ila akapokonywa mpira.
Next time itakuwa 7Du! Rekodi ya Hat-trick ya Kibaden kumbe nayo ilikuwa ivunjwe jana!
Pacome naye angekuwa makini Rekodi ya Goli 7 ilikuwa inawekwa jana...