Kwanini Pacome hakumuachia Max Nzengeli ile penati?

Kwanini Pacome hakumuachia Max Nzengeli ile penati?

Najua unatafuta Kilazima Kuingiliwa Kinyume na Maumbile na ndiyo maana Kutwa unapenda Kunishobokea na Kujipendekeza Kwangu. Tafadhali Mimi GENTAMYCINE sifanyi Dhambi hiyo iliyokataliwa na Mola / Maulana kupitia Vitabu vyake Vitakatifu vya Biblia na Quran.
 
Nadhani ujanja ni kupiga goli 3 tatu bila kulilia penalt wala Faul.

Timu nyingi Duniani zinakuwa na specialist wa penalt na Faul.

Yanga walikiwa na Juma shaban na Dikson Job.

Pakome alikuwa mpigaji Penalt Asec nadhani ndio mwenye jukumu la kupiga penalt za yanga kwa sasa.
Na aliiweza kweli kweli! Kipa huko na mpira huku
 
Jana kuna tukio lilitokea na kujirudia kama lilivyotokea miaka 11 iliyopita.

Miaka 11 iliyopita Simba ilimgaraza Yanga magoli 5-0. Emanuel Okwi akiwa kashatupia goli mbili, Simba wakapata penati katika hali ya kushangaza penati ile akapewa Kaseja na akafunga. Ikamnyima Okwi hat-trick.

Jana Max Nzengeli akiwa tayari kashafunga bao mbili Yanga wakapata penati na kama ilivyotokea miaka 11 iliyopita, Nzengeli akanyimwa kuandika hat trick yake katika derby ya Kariakoo na badala yake akapewa Pacome.

Je, kuna namna hawataki rekodi ya Kibadeni ivunjwe? Abdallah Kibadeni anabakia mchezaji pekee kuwahi kufunga hat trick katika derby ya Kariakoo.

Kama wakati wa penalty huwa kuna kikao cha majadiliano ni sawa, inaonekana unapoteza mda mwingi kusikiliza wachambuzi hewa.
 
Unakumbuka Mayele alivyokua anakosa kosa penalty? Pia nadhani kumpa penalty Max wakati ana shauku ya hat trick ingemletea wenge mwisho apige nje.
 
Najua unatafuta Kilazima Kuingiliwa Kinyume na Maumbile na ndiyo maana Kutwa unapenda Kunishobokea na Kujipendekeza Kwangu. Tafadhali Mimi GENTAMYCINE sifanyi Dhambi hiyo iliyokataliwa na Mola / Maulana kupitia Vitabu vyake Vitakatifu vya Biblia na Quran.
FB_IMG_16992583151771630.jpg
 
Watakaopenda Ufanikiwe zaidi yao ni wazazi wako tu mkuu. Maisha yako hivyo
 
Back
Top Bottom