Kwanini Pacome hakumuachia Max Nzengeli ile penati?

Ndio maana Gamondi analalamika kuwa hakuridhishwa na matokeo. Anachoamini wachezaji wake walikosa magoli ya wazi.

Hii show paka shume alikuwa anachezea dungu 7 kama wachezaji wetu wangekuwa makini.
 
Pia alicheza vizuri sana jana, ni halali apate goli lake.
Binafsi nilitamani sana Pacome apate goli ili MAP ikamilike maana jana huyu ndio alikuwa anawafungua wachezaji wa Simba kwa kutokukabika kwake na kutengeneza space kwa wenzake. Ile penati sijui ni yeye kataka kupiga nahisi pengine wenzie ndio waliompa apige yeye.
 
Rekodi itavunjwa kama mfungaji atafunga goli 4. Goli tatu maana yake atakuwa ameifikia rekodi, sio kuivunja. Naona watu hawajui maana ya kuvunja rekodi.
 
Kamuulize
 
kocha ndio hufanya uamuzi wa nani mpigaji penati namba moja kwenye timu
 
Ulitaka apige puuu! Ninavyojua mimi penati inahitaji ufundi
 
Ndiye man of the match jana, hakuna ubishi.
Safi ya ulinzi ya Simba haitokaa imsahau!

Kama ilivyokuwa kwa Aziz Ki kuwa sajili bora msimu uliopita, msimu huu ni Pacome.
 
Inasemekana wachezaji wa yanga hawakuwa wanajua kama ile ilikuwa dabi, walikuwa wanaona kama vile wanacheza na KMC au JKT au Asas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…