GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Najua unatafuta Kilazima Kuingiliwa Kinyume na Maumbile na ndiyo maana Kutwa unapenda Kunishobokea na Kujipendekeza Kwangu. Tafadhali Mimi GENTAMYCINE sifanyi Dhambi hiyo iliyokataliwa na Mola / Maulana kupitia Vitabu vyake Vitakatifu vya Biblia na Quran.Wapi Selemani GENTAMYCINE
Utadhani hata kupiga danadana unajua.Ile ya mzize angetumia akili kidogo tu lilikua goli lile,angeiminya pembeni kidogo Kisha aachie bonge la mshuti
Na aliiweza kweli kweli! Kipa huko na mpira hukuNadhani ujanja ni kupiga goli 3 tatu bila kulilia penalt wala Faul.
Timu nyingi Duniani zinakuwa na specialist wa penalt na Faul.
Yanga walikiwa na Juma shaban na Dikson Job.
Pakome alikuwa mpigaji Penalt Asec nadhani ndio mwenye jukumu la kupiga penalt za yanga kwa sasa.
Jana kuna tukio lilitokea na kujirudia kama lilivyotokea miaka 11 iliyopita.
Miaka 11 iliyopita Simba ilimgaraza Yanga magoli 5-0. Emanuel Okwi akiwa kashatupia goli mbili, Simba wakapata penati katika hali ya kushangaza penati ile akapewa Kaseja na akafunga. Ikamnyima Okwi hat-trick.
Jana Max Nzengeli akiwa tayari kashafunga bao mbili Yanga wakapata penati na kama ilivyotokea miaka 11 iliyopita, Nzengeli akanyimwa kuandika hat trick yake katika derby ya Kariakoo na badala yake akapewa Pacome.
Je, kuna namna hawataki rekodi ya Kibadeni ivunjwe? Abdallah Kibadeni anabakia mchezaji pekee kuwahi kufunga hat trick katika derby ya Kariakoo.
Unamjua kajole wewe! Alikuwa anatuliza akipiga kona! Yanga walikuwa wanajitahidi kutofanya kosa ikawa Kona. Akipiga Kajole ni goliUtadhan hata kupiga danadana unajua
Jinga lingine hili hapaAziz ki match ijayo anawapiga makolo 4 peke yake
Najua unatafuta Kilazima Kuingiliwa Kinyume na Maumbile na ndiyo maana Kutwa unapenda Kunishobokea na Kujipendekeza Kwangu. Tafadhali Mimi GENTAMYCINE sifanyi Dhambi hiyo iliyokataliwa na Mola / Maulana kupitia Vitabu vyake Vitakatifu vya Biblia na Quran.
Jinga lingine hili hapa
Usinichukulie poa,mpaka ligi kuu nimechezaUtadhani hata kupiga danadana unajua.