Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Deogratius Kisandu Kasome historia hujui unachoandika umekariri imani ya kirumi
 
Soma kitabu cha ufunuo. Shida hua mnakaririshwa mstari mmoja bila kujua kuna mstari mwingine unapinga ulichokariri
Leta vifungu acha kukariri yasiyokuwepo ni kifungu gani ktk ufunuo kupalizwa kwa Bikira maria?
Kwani yeye ni Ufunuo mpaka aandikwe kwa namna ya Ufunuo?

Mkuu Ufunuo umefunua machache yaliyopita na mengi yajayo mipango ya Mungu kwa mwanadamu Duniani
 
Kwa nini hakumsihi kurudisha na vile vya agano la kale? Je ni kweli kuhusu kununua cheti cha msamaha wa dhambi hayo yana fanyika ndani ya kanisa? Pamoja na kumtumia Maria katika kupitishia maombi kwa nini Abraham naye asitumiwe? Au si mtakatifu?

Na washawasha!


 
suala la kumuabudu Maria na kuendelea kumuita bikira wakati alikuwa na watoto na Yusufu hunishangaza sana.
 
Hapa sasa nazidi kuamini kuwa UIASLAM, nidini isiyo na shaka
Kaka usilete issue ya Uislam hapa, humu ndani kuna wasomi sana wa masuala ya kiimani, hiyo imani itachambuliwa mpaka utakosa mahali pa kushika. Hata hivyo kwenye uislam pia kuna madhehebu hivyo hata wao wanaweza kupitia mvutano kama huu.
 
Mama Maria... Mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu.. sasa na saa ya kufa kwetu.....(Naona mmempitisha)

Sasa sijui Yesu alikuja kufanya nini......
 
We kaa kimya kabisa ukusikia mpaka mkulu juzi anasema Rozari ya bikira maria ilimpa ushindi wa Urais!
 
Ivi kale kamstali "Maria mama wa mungu "kanamaanisha nn?
 
[QUOTE="Kituko,

Naweka haya mafungu hapa chini nitaomba uyafafanue maana naona umeyajengea hoja sasa nitakuuliza maswali kutokana na haya mafungu mkuu.



Revelation Chapter 12
1And there appeared a great wonder in heaven; a woman clothed with the sun, and the moon under her feet, and upon her head a crown of twelve stars:

2And she being with child cried, travailing in birth, and pained to be delivered.

3And there appeared another wonder in heaven; and behold a great red dragon, having seven heads and ten horns, and seven crowns upon his heads.

4And his tail drew the third part of the stars of heaven, and did cast them to the earth: and the dragon stood before the woman which was ready to be delivered, for to devour her child as soon as it was born.

5And she brought forth a man child, who was to rule all nations with a rod of iron: and her child was caught up unto God, and to his throne.

6And the woman fled into the wilderness, where she hath a place prepared of God, that they should feed her there a thousand two hundred and threescore days.
 

Man go back to school
 
PUMBA!!!
Historia ya Ukristo huijui...Historia ya Martin Luther huijui....hata KU Google umeshindwa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…