Yakobo, Yosefu, Simoni, Yuda na dada zake.Hao watoto na Yusifu unaweza wataja..?
Mkuu Luther hakuwa askofu!!Martin Luther alishapata cheo cha , 'uaskofu' wakati huo. Dhana kwamba alifuta vitabu 7 napata shida mamlaka hayo aliyapata wapi? Mnyonge mnyonge lakini haki yake mpe
Wewe umeenda nje ya topic kabisa. Anayeongelewa ni Martin Luther.
*uandishi wako unaonyesha kua huijui historia ya kanisa,,,
kwa mfano huzungumzii sala kwa bikira maria na cheo chake cha umalkia, ubatizo,,, imani, na neno..
Yusufu hakufanya ngono na Maria hadi yesu alipozaliwa. baaday ya hapo wakafanya ngono na kuzaa hao ndugu wa yesu niliokutajia.Hao watoto na Yusifu unaweza wataja..?
Kanisa katoliki wanamuhitaji Mungu kwakwl na ndo mana wengi wanaoelewa neno huwa wanakimbia,Japo sijawahi kuwa mkatoliki lakini naskia ukifa siku ya kuzikwa padri akikuombea rehema basi unasamehewa makosa yako! Na pia mama maria ndo anawaombea wakatoliki,pia ndo dhehebu pekee ambalo pombe imehalalishwa!! Mungu atusaidie sana
Alikufa mkuu ila mwili wake haukuzikwa !! Ila ulipalizwa mbinguni!!Biblia inasema Bikra Maria ataitwa mbarikiwa, na dunia itamsifu kuwa yeye ni mbarikiwa. Bikra Maria kwa mujibu wa kumbukumbu za kanisha hakufa, alipaazwa. Ujui historia, huyu mama ni the special, hata waprotestant wakimtupa sisi Wakatoliki tutaendelea kutimiza unabii kwa kumuita mbarikiwa
Alikufa mkuu ila mwili wake haukuzikwa !! Ila ulipalizwa mbinguni!!
Wewe siku ukifa tutakuzika ndani ya jeneza BT yeye kwa mujibu wa mapokeo, wakati wakiristo na mitume wakiwa wamekusanyika wanasali baada ya kifo cha maria, walishitukia eneo alilokuwepo limeja maua ya waridi (roses) na mwili hauonekani, ndio chimbuko la imani hii ya katholiki.
Sikumaanisha ulivyoelewa, imani niliyomaanisha ni kupalizwa.Chimbuko la imani ya Katoliki ni Petro, pale alipoambiwa juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa, fuatilia. Kanisa katoliki lilianzishwa na Yesu
mbona kwenye harusi ya Kana alikuwepo tena mubashara mitume licha ya mazoea walimfuata mama yake !! Baadae maza akasema " chochote atakachowaambieni mfanye"Mama Maria... Mama wa Mungu utuombee sisi wakosefu.. sasa na saa ya kufa kwetu.....(Naona mmempitisha)
Sasa sijui Yesu alikuja kufanya nini......
Hahahahaha! Duuh yani wewe ni jinga kabisa....
Anglican high church wasali Rozari vizuri...Pole kama ulikuwa hujui..sasa nimekufahamisha .nijukumu lako kwenda kufanya utafiti...
Ngoja nikupe hii..
Kila tarehe 18 July Ni Siku muhimu kwa Kanisa la Anglican Uingereza maana ni siku ya "Our Lady of Walsingham"
Sherehe hii, husherejewa pamoja na Wakatoliki wote...Catholic, na Anglican huungana pamoja kuadhimisha siku hii muhimu ya B/ Maria kwa kusali Rozari na misa Takatifu....
Mbona huulizi, Paulo, Nathayo, Luka..nk.nk..?
Good man umenena Kweli!Ni kwl hata mimi siku nkiona andiko linalosema bikra maria yupo hai na anatuombea siku hiyo ntarudi kama hiyo imani ya roma,ninae mjua yuko hai ni Kristo yesu peke yake yuko hai milele na ndo atakaekuja kunyakua kanisa n mtu haendi kwa baba bila kupitia kwake,na ndo muombezi wetu,Swala la kwnn alitumiwa kubeba mimba Roho mtakatifu au Mungu huweza kumtumia yoyote aliemuumba na ndo maana Balaki alipo mwambia mchawi balaamu awalaani wana wa israel,wakati balaamu anaenda kuwalaani wana wa israel alikuwa amepanda punda na siku hiyo Mungu alimtumia huyohuyo punda kutamka maneno kama mwanadamu,kwahyo hatuwez kusema punda ni mtakatifu anafaa kutuombea kisa alitumiwa na Bwana Mungu,Mungu anaweza kumtumia yoyote kwa ajili ya kazi yake maana vyote alivyoviumba viko ndani ya uwezo wake kuvitumia atakavyo,Kwhiyo mariam ni mtakatifu kwa sababu alimbeba mtakatifu na ni mbarikiwa kwa sababu alimbeba katika tumbo lake yule aliekuwa amebarikiwa hata neno linasema hata sisi tutakuwa watakatifu maana alie ndani yetu ni mtakatifu,kwhiyo maryam kumzaa Yesu alitumiwa tu lakini haimpi mamlaka ya yeye kuwa mwombezi wenu!! hana mamlaka hayo na wala hakuna mtume wala nabii ambaye amepewa mamlaka hayo ni kristo peke yake!! Hivi mbona neno liko wazi hizo biblia huwa mnasoma mkiwa timamu kwa kuongozwa na roho mtakatifu kwl?? au tatzo roho mtakatifu wenu huwa anakaa upande wa kulia ndo maana lakini akikaa moyoni mwako neno utalielewa vzuri sana.
Kwanini Martin Luther asikosolewe?kiukweli umekuwa mkristo usie na faida.
kuabudu miungu na kuvunja amri za Mungu ndiko kunakutesa mpaka umkosoe martini luther.
kajipange upya na hoja zako zenye kukinzana na imani ya ukristo.
Kwenye kitabu cha ufunuo unayajua yale makanisa saba? Kama Yesu alianzisha kanisa katoliki, Mbona kanisa katoliki halikutajwa kwenye yale makanisa saba? Jibu Hilo swali kwanza?Biblia Si kila Kitu Kwahy Si Biblia Pekee yenye Majibu... Mengine utayapata Kanisani na Ni kanisa Katoliki pekee nyie Wengine Hamna Hilo.. maana Roho Wenu ni Mfu.. Ameshaacha Kuwafunulia mmebakia na Biblia imliyoiba Katoliki mkatoa na Vitabu vingine....
Fuata Historia ya Kanisa Lako halina Tofauti na Gwajima na Rwakatale yote yameanzishwa na Watu badala ya Kristo Mwenyewe..
Kanisa Lako Lilitajwa?...Kwenye kitabu cha ufunuo unayajua yale makanisa saba? Kama Yesu alianzisha kanisa katoliki, Mbona kanisa katoliki halikutajwa kwenye yale makanisa saba? Jibu Hilo swali kwanza?