Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Naninataka niwaondoe shaka watu wanao aminishwa uongo kua bikila malia alipaa mbinguni huu niuongo ulikomaa ..katika oloza yawatu waliopaa mbinguni bikila malia hayumo ..kwanini hayumo nikwasababu hakupaa mbinguni..acheni kulishwa uongo somenibibilia
Sasa hata kutumia lugha ya kiswahili hujui, unataka kumhauri nani na akakuelewa...
Hebu nenda kule jukwaa la jokes ndio size yako, huku unatia kinyaa