Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Jikite kwenye madaMbona huzungumzii kuhusu sanamu,ibada za wafu,toba,liturujia(mapokeo),ni mengi tu yanayoleta mkanganyiko na kufanya watu waondoke hadi Leo tofauti na padri martin luter.
Jikite kwenye madaMbona huzungumzii kuhusu sanamu,ibada za wafu,toba,liturujia(mapokeo),ni mengi tu yanayoleta mkanganyiko na kufanya watu waondoke hadi Leo tofauti na padri martin luter.
We unaonajeKwani ile sala ya toba huwa mnasalishwa na Mungu live au huwa inakuwaje??
Kila andiko kwenye Biblia ni neno la Mungu yaani ni Mungu mwenyewe ....angalia unapofikiri unapinga Ukatoliki kumbe unampinga Mungu ....tukianza kuchagua andiko hili ni muono wa kibinadamu na hili ni Mungu tunaenda kubaya sana.....Yesu ni Mungu hivyo hatuombei bali yeye ndio mpaji ...ila Mapadre, wachungaji, watakatifu n.k wanaweza kutuombea kwa Mungu ....kama wewe ni Mkristo na huamini kuna maisha baada ya kifo basi ule ufufuko wa Yesu ulikuwa kazi bure ......kama Yesu alitokewa na Musa, Eliya kumtia moyo ....enzi zenu si mngesema ni wafu/ mizimu ile?Ushasema walikuwa harusini na mama na mwanae walikuwepo, walipomuomba mama amwombe mwanae ni kawaida kwa kimuono wa kibinadamu.
Je ni wapi katika Biblia tunaambiwa tukitaka kumuomba Mungu basi tupitie kwa mama maria?
Mkuu unafanya kazi nzuri sana ya kuinjilisha UKWELI na si short cut za ajabu ajabu ....Mungu akubariki ili uzidi kuwapa ukweli ambao wenye akili watarudi kwenye Biblia zao kuchimba ....wabishi watabaki na maisha yao ya kukariri vifungu tu ....Na unaposema "kipaumbele" unataka kumaanisha kitu gani hasa...? Kipaumbele ni nini..?
Kwamba kaburi lipo ila halijapewa kipaumbele cha kuandikwa kwenye biblia...??? Ni kipaumbele gani unataka kuzungumzia hapa..?
Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!Kila andiko kwenye Biblia ni neno la Mungu yaani ni Mungu mwenyewe ....angalia unapofikiri unapinga Ukatoliki kumbe unampinga Mungu ....tukianza kuchagua andiko hili ni muono wa kibinadamu na hili ni Mungu tunaenda kubaya sana.....Yesu ni Mungu hivyo hatuombei bali yeye ndio mpaji ...ila Mapadre, wachungaji, watakatifu n.k wanaweza kutuombea kwa Mungu ....kama wewe ni Mkristo na huamini kuna maisha baada ya kifo basi ule ufufuko wa Yesu ulikuwa kazi bure ......kama Yesu alitokewa na Musa, Eliya kumtia moyo ....enzi zenu si mngesema ni wafu/ mizimu ile?
Tunaposema Yesu alikuwa Mungu kweli na Mtu kweli unaelewa nini...?Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?
Ufunuo 5:8Lete andiko wapi bibilia.inasema watakatifu wawaombee
Hajasahau mkuu, bali anafunika makusudi ili kupamba imani yake.Naona hujazungumzia cheo cha papa na mamlaka yake, umeshau hoja ya Marton Luther ya mamlaka milyo mpa maria kuwa muombezi wenu
Ndiyo maana Waislamu wakiwabana kwenye angle mnakosa majibu sababu ya uelewa mdogo ....Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....lazima ujue wakati gani unaweza kutofautisha haya ....Sidhani kama umejibu hata swali langu zaidi ya siasa!
Yesu aliposema "Baba yangu wasamehe" au "nami tawaombea kwa baba" inamaana alijisahau kuwa hapaswi kutuombea?
Na alipoondoka alisema atatuachia msaidizi ambae ni Roho mtakatifu, tukiomba twaomba kwa Mungu baba Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu, sio kupitia kwa mama maria.
Naomba mstari hata mmoja katika Biblia ambao unatutaka tumuombe maria atuombee kwa Mungu.
Nzuri! Unakubali kuwa Watakatifu wapo....Good!watakatifu waliokufa wamelala mtu alie lala bibilia inasema kumbukumbu zake hazifanyi kazi sasa kamahazifanyikazi atakumbukaje kuwaombea huu
Ni shida sana mkuu!!! Yani hawa watu inabidi twende nao taratibu....Ndiyo maana Waislamu wakiwabana kwenye angle mnakosa majibu sababu ya uelewa mdogo ....Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....lazima ujue wakati gani unaweza kutofautisha haya ....
Mkitaka majibu ya hayo anzisheni mada nyingine..Hajasahau mkuu, bali anafunika makusudi ili kupamba imani yake.
Hahaha..Anaanza kumchafua Martin Luther kwa kupindisha habari na hadith za kutunga.
Mbona haujibu maswali yangu bali unaleta siasa? Achana na Yesu maana huyo namtambua ni Mungu.Ndiyo maana Waislamu wakiwabana kwenye angle mnakosa majibu sababu ya uelewa mdogo ....Yesu ni Mungu kweli na Mtu kweli ....lazima ujue wakati gani unaweza kutofautisha haya ....
Ufunuo 5:8
"Hata alipokitwaa kile kitabu, hao wenye uhai 4 na wale wazee 24, wakaanguka mbele za mwana kondoo, kila mmoja wao na kinubi na vitasa vya dhahabu, vilivyojaa manukato ambayo ni MAOMBI YA WATAKATIFU"
Evidence plz ebu tuaminishe kwamba RC wametumia kitabu cha Ufunuo kinatumika hvyo unavyosema.Labda nikusaidie mtoa mada kitabu cha ufunuo nimaono ya badae ambayo yanaonesha msho wadunia sasa toka rc imeanzishwa mpaka leo dunia imeshaisha... Kitabucha ufunuo kinaonesha mambo yawakati ujao lakin kathoriki mmebadilisha nakuwa nakuyafanya yawakati huu hapo ndipo mnapo kosea