Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Man made kivipi..? Kuwa Yesu ni man made ..daah..mpaka naogopa kuandika...,

Imani ya Kanisa Katoliki ijipambanua kwenye Creed tunayo ikiri kila tunapokutana..
Dini na Yesu ni vitu viwili tofauti. Dini is man made
 
Jamani hivi ninyi wakathorici hayo maandiko ya maria kuwa muombezi wenu munayatowa wapi tupeni na sisi tuyasome siyo mtuletee ha bali za kijiolojia..bibilia haisemi tujifunze kwa kupitia jioloji wala sayansi maana bibilia nikitabu kinacho jitosheleza hakihitaji msaada wa vitabu vingine
Anzisha mada yake tukujibu ...hapa mada ni Martin Luther kupunguza vitabu vya Biblia inayotumika leo na Walokole ...
 
Wewe umeanza ukatoliki toka ukiwa mtoto. Your brain has been wired to think the Catholic way without taking into consideration that religion you dearly believe is man made.
Yes man made kwa maana aliyeanzisha (YESU) alikuwa MTU kweli na Mungu Kweli ....upo hapo?
 
Miaka ya mwanzo makasisi walioa na baadhi ya Popes walikuwa wameoa. Tatizo wakaanza kutumia mali za kanisa kurithisha watoto wao. Undugu urikithiri. Watu waka- promote mpaka watoto wao wa nje kuwa makasisi.

Nikisema dini ni man made mtanipinga sana.
Hicho sio kigezo, ungesema man made through holly spirit aliyeachwa duniani na Yesu Kristo ungeeleweka,kumbuka baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikuwa na familia kabla ya kuungana na Yesu lkn biblia haisemi hizo familia zao ziliishia wapi, mfano Simon Petro.
 
Yes man made kwa maana aliyeanzisha (YESU) alikuwa MTU kweli na Mungu Kweli ....upo hapo?
Yes hakuanzisha dini. Yesu alikuwa myahudi na alifuata dini ya kiyahudi. Na wanafunzi wake vile vile walikuwa wayahudi.

Nionyesha sehemu ambayo Yesu amesema naanzisha dini.
 
Hicho sio kigezo, ungesema man made through holly spirit aliyeachwa duniani na Yesu Kristo ungeeleweka,kumbuka baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikuwa na familia kabla ya kuungana na Yesu lkn biblia haisemi hizo familia zao ziliishia wapi, mfano Simon Petro.
Man made
 
Kwani Kanisa linaabudu sanamu...!sanamu ni ishara/kielelezo kuwakumbusha kwamba bwana watu Yesu Kristo aliwambwa msalabani yani ni kama kumbukumbu flani,hata kama imewekwa kanisani sio kwamba inaabudiwa hapana anayeabudiwa pale ni Mungu kwa njia ya msalaba wa mwanae Yesu Kristo kwani ule ndio ulikuwa ukombozi wa mwanadamu,cjui kama utanielewa kwa MTU mwenye mafundisho ya kisabato ni pagumu sana.
Sababu kubwa ya kutumia sanamu ni kuiga dini za kizamani za kirumi na kigiriki.
 
Kama sikuabudu siku ya ijumaa kuu kunatendo la kwenda kwenyesanamu ya bikira maria kuipiga busu nakupiga magoti nakuiinamia ikimaanisha tendo la kuabudu ..
 
Jamani nyie wakathoric sibitisheni kwa maandiko wa biblia inampa maria mamlaka ya kuwaombea wafu.. Na ilihali yeye ni mufu swali la kwanza.. Swali lapili wapi biblia inasemama tubumbe misanamu na kuisujudia..

Kunamaandiko mangi yasiyo kuwa na idadi yanayopiga malufuku kutengeneza au kuunda sanamu na kuifananisha nakitu chochote kile kilichopo duniani au juu mbinguni.. Na mkibisha nitaleta maandiko sasa nijibuni maswali yangu kwa maandiko ili na mimi nilizike..wapi mmepewa mamlaka ya kibiblia kuunda mwana sesele alimalufu midololi au sanamu. na kuufananisha nayesu.. leteni andiko
 
Katiba ya wakiristo wote dunia ni biblia haisemi maria awe muombezi ..bali inatamka wazi wazi kuwa tunae muombezi mmoja tu ambae ni yesu kiristo. Sii maria wala hao watakatifu wenu wakupeana ..eehee haya ndio maneno ya watu kuelezwa siiuongo munao walisha watu eti maria alipaa mala muombezi huwo wote niuongo wa hazalani.kama nikweli leteni maandiko tuone kama biblia inampa mufu mamlaka ya kuwaombea walio hai..
 
Back
Top Bottom