Dini na Yesu ni vitu viwili tofauti. Dini is man madeMan made kivipi..? Kuwa Yesu ni man made ..daah..mpaka naogopa kuandika...,
Imani ya Kanisa Katoliki ijipambanua kwenye Creed tunayo ikiri kila tunapokutana..
Anzisha mada yake tukujibu ...hapa mada ni Martin Luther kupunguza vitabu vya Biblia inayotumika leo na Walokole ...Jamani hivi ninyi wakathorici hayo maandiko ya maria kuwa muombezi wenu munayatowa wapi tupeni na sisi tuyasome siyo mtuletee ha bali za kijiolojia..bibilia haisemi tujifunze kwa kupitia jioloji wala sayansi maana bibilia nikitabu kinacho jitosheleza hakihitaji msaada wa vitabu vingine
Yes man made kwa maana aliyeanzisha (YESU) alikuwa MTU kweli na Mungu Kweli ....upo hapo?Wewe umeanza ukatoliki toka ukiwa mtoto. Your brain has been wired to think the Catholic way without taking into consideration that religion you dearly believe is man made.
Kweli ni vitu viwili tofauti ....wewe unaelewaje maana ya Dini?Dini na Yesu ni vitu viwili tofauti. Dini is man made
Evidence plz....!Wewe umeanza ukatoliki toka ukiwa mtoto. Your brain has been wired to think the Catholic way without taking into consideration that religion you dearly believe is man made.
Hicho sio kigezo, ungesema man made through holly spirit aliyeachwa duniani na Yesu Kristo ungeeleweka,kumbuka baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikuwa na familia kabla ya kuungana na Yesu lkn biblia haisemi hizo familia zao ziliishia wapi, mfano Simon Petro.Miaka ya mwanzo makasisi walioa na baadhi ya Popes walikuwa wameoa. Tatizo wakaanza kutumia mali za kanisa kurithisha watoto wao. Undugu urikithiri. Watu waka- promote mpaka watoto wao wa nje kuwa makasisi.
Nikisema dini ni man made mtanipinga sana.
Yes hakuanzisha dini. Yesu alikuwa myahudi na alifuata dini ya kiyahudi. Na wanafunzi wake vile vile walikuwa wayahudi.Yes man made kwa maana aliyeanzisha (YESU) alikuwa MTU kweli na Mungu Kweli ....upo hapo?
Kweli ni vitu viwili tofauti ....wewe unaelewaje maana ya Dini?
Kweli ni vitu viwili tofauti ....wewe unaelewaje maana ya Dini?
Mmmmh....!hi ni hatari Otorong'ong'o kunahitaji maombi humu kwenye forum..........!Naamini Biblia. Naamini kuwa ni kazi ya binadamu
HahahahahahahaHuyo achana naye. .Ni zuzu...sidhani kama anaijua hata jinsia yake..
Evidence plz....!
Evidence plz....!
Man madeHicho sio kigezo, ungesema man made through holly spirit aliyeachwa duniani na Yesu Kristo ungeeleweka,kumbuka baadhi ya wanafunzi wa Yesu walikuwa na familia kabla ya kuungana na Yesu lkn biblia haisemi hizo familia zao ziliishia wapi, mfano Simon Petro.
Mwambie akaombe mvua kwanzaMmmmh....!hi ni hatari Otorong'ong'o kunahitaji maombi humu kwenye forum..........!
Huyu jamaa atakuwa anamaanisha au yuko kwenye jokes.........!Kweli ni vitu viwili tofauti ....wewe unaelewaje maana ya Dini?
Wewe hii thread sio saizi yako pita tuu.Mwambie akaombe mvua kwanza
Mmekuwa brain washed na masuala ya diniWewe hii thread sio saizi yako pita tuu.
Sababu kubwa ya kutumia sanamu ni kuiga dini za kizamani za kirumi na kigiriki.Kwani Kanisa linaabudu sanamu...!sanamu ni ishara/kielelezo kuwakumbusha kwamba bwana watu Yesu Kristo aliwambwa msalabani yani ni kama kumbukumbu flani,hata kama imewekwa kanisani sio kwamba inaabudiwa hapana anayeabudiwa pale ni Mungu kwa njia ya msalaba wa mwanae Yesu Kristo kwani ule ndio ulikuwa ukombozi wa mwanadamu,cjui kama utanielewa kwa MTU mwenye mafundisho ya kisabato ni pagumu sana.