Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Kwa hiyo kwakuwa picha haijasemwa ni ruksa siyo.. ??Umeona picha ikisemwa hapo? Mafungu yote hayo yanaeleza kuwa sanamu ni nini na adhabu itakayowapata
Hebu twende kisomi...
Kabla ya kutengeneza Sanamu, lazima uwe na picha ili utengeneze sanamu.....Maana yake huwezi tengeneza sanamu kama huna picha...
Kitaalamu tunasema Picha inakuwa kwenye 2D/3D conformal....sasa unatumia 2D ama 3D kutengeneza kitu halisi (Statue) ambayo ni 4D picture....
Kitaja bana...Kadiri unavyojitutumua kujibu ndivyo unavyozidi kuharibu...Ni kama unajifanya msemaji wa kikundi chako cha SDA.....
Ni bora ukakaa kimya..sio kila kitu cha kujibu...