Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,523
- 30,053
Kwa hiyo kwakuwa picha haijasemwa ni ruksa siyo.. ??Umeona picha ikisemwa hapo? Mafungu yote hayo yanaeleza kuwa sanamu ni nini na adhabu itakayowapata
Huna hoja, mafungu ya Biblia niliyokuwekea yamekuchoma barabara. Lakini kama Nabii Yohana alivyotoa unabii kuwa, hao waasi pamoja na kupata mapigo bado hawakuacha ibada ya sanamu za miti,mawe, shaba, dhahabu. Wala hawakuacha kuabudu mashetani. Unabii huu ni maalum kwa wakatoliki, licha ya ushahidi wote wa Biblia bado mnakumbatia ibada ya sanamu!Kwa hiyo kwakuwa picha haijasemwa ni ruksa siyo.. ??
Hebu twende kisomi...
Kabla ya kutengeneza Sanamu, lazima uwe na picha ili utengeneze sanamu.....Maana yake huwezi tengeneza sanamu kama huna picha...
Kitaalamu tunasema Picha inakuwa kwenye 2D/3D conformal....sasa unatumia 2D ama 3D kutengeneza kitu halisi (Statue) ambayo ni 4D picture....
Kitaja bana...Kadiri unavyojitutumua kujibu ndivyo unavyozidi kuharibu...Ni kama unajifanya msemaji wa kikundi chako cha SDA.....
Ni bora ukakaa kimya..sio kila kitu cha kujibu...
Hoja ninayo....Na hoja yangu nimejenga kwa mfumo wa Swali...Swali lenyewe ni hili..Huna hoja,
Yamenichoma kivipi labda...Maana hizo ngonjera zako hujazianza leo...huu uzi una muda...mafungu ya Biblia niliyokuwekeo yamekuchoma barabara
. Lakini kama Nabii Yohana alivotoa unabii kuwa, hao waasi pamoja na kupata mapigo bado hawakuacha ibada ya sanamu za miti,mawe, shaba, dhahabu. Wala hwakuacha kuabudu mashetani. Unabii huu ni maalum kwa wakatoliki, licha ya ushahidi wote wa Biblia bado mnaklumbatia ibada ya sanamu!
Hoja ninayo....Na hoja yangu nimejenga kwa mfumo wa Swali...Swali lenyewe ni hili..
Nipe andiko linalosema tutumie picha kufundishua....nipe andiko linalosema pichs ni ruksa....
Yamenichoma kivipi labda...Maana hizo ngonjera zako hujazianza leo...huu uzi una muda...
Umesema Biblia imeruhusu picha...? Nimekuomba unipe andiko ku-support hiyo kauli..
Unazunguka zunguka kama tiara....Mimi nasubiri jibu...labda ukatafute kwenye Clear Word bible ya Kisabato..
Teh teh teh...daah
Mbona unakwepa swali langu.....?Sanamu ni hizo hapo
View attachment 461415
View attachment 461416
View attachment 461417
View attachment 461419
Wana masikio lakini hawasikii, jamani Mungu amekataza kujifanyia sanamu na kuziabudu, enyi waroma mwogopeni Mungu.
Yaaani majibu yote hayo umetoka kapa! Pitia tena hizo sanamu halafu uniambie mmepata wapi kibali cha kuzisujudia kama ilivyoonyeshwa hapo.Kama huna jibu, nyamaza na uwe tayari kielimishwa.Mbona unakwepa swali langu.....?
Mkuu, hujanipa jibu ni wapi imeandikwa tujifanyie picha kwa ajili ya kufundishia....Nipe hilo andiko...Ndio ninachosubiri hapa....Yaaani majibu yote hayo umetoka kapa! Pitia tena hizo sanamu halafu uniambie mmepata wapi kibali cha kuzisujudia kama ilivyoonyeshwa hapo.Kama huna jibu, nyamaza na uwe tayari kielimishwa.
Mkuu, hujanipa jibu ni wapi imeandikwa tujifanyie picha kwa ajili ya kufundishia....Nipe hilo andiko...Ndio ninachosubiri hapa....
Nipe...
Na mimi lengo langu la kumuomba andiko ni baada ya kuona huko kwao pia waneweka picha...Kaka huyo mtu ameshakuelewa anakuzungusha tu, Wasababto wanajichanganya tu mafundisho yaliyo kinyume cha Biblia.
Atakusumbua na kukuzungusha tu
amri inakataza Kuziabudia na kuzitumainia hizo Sanamu, uwepo wake kama alama ya kuonyesha mateso, matendo ya viongozi wetu wa kidini halina tatizo lolote
Kwa hiyo picha ni ruksa..?Masanamu yakuchonga yamo makanisani kwenu na biblia inasema wazi katika kitabu cha kutoka usijifanyie sanamu ya kuchonga..haisemi picha mbona mnapindisha lugha
Hao ni sikio la kufa, wanachojua wao ni kupotosha ukweli hata ambapo kila mtu anaona.Masanamu yakuchonga yamo makanisani kwenu na biblia inasema wazi katika kitabu cha kutoka usijifanyie sanamu ya kuchonga..haisemi picha mbona mnapindisha lugha
Teh teh teh teh....Hao ni sikio la kufa, wanachojua wao ni kupotosha ukweli hata ambapo kila mtu anaona.
Mimi hoja yangu ya msingi hapa ni Mwanadamu kumkubali Yesu kristo kama mwokozi Wa maisha Yake, wote tunajua namna dhambi ilivyoingia ulimwenguniKaka mbona povu sana mpaka unashindwa kuandika vizuri?
Umeshapata copy yako ya Biblia mpya ya Kisabato? Ipakue hapa
Clear Word Exposed
Ni ajabu sana, Katoliki wamekaa na hiyo Biblia kwa zaidi ya miaka 2000 na hawakuthubutu kubadirisha hata nukta moja ya andiko lolote na walikuwa na uwezo wa kufanya hivyo, lakini walikuwa na hofu ya Mungu na katiak ukatoliki hata Papa hawezi ku temper na Bible,
Kaja Luther kaanza kutemper na bible mara sitaki Ufunuo mara Makabayo, mara Jakobo, mara rudisha ufunuo, uzuri wake yeye alikuwa na misingi ya Kikatoliki hivyo alitoa vitabu vizima vizima,
Cha ajabu hawa wasabato ambao hawana hata miaka 200, wameshaanza kuibadirisha Biblia, wanaweka maneno yatakayoendana na mafundisho ya uongo ya nabii wa Uongo Mpinga Kristo bibi Ellen,
Someni hiyo link hapo juu kuona hiyo Bibliamya Kisabato
Cc: Otorong'ong'o , jiwe la majiwe kandere , Kitaja , Ntuzu
Namwani Yesu kama mwokozi aliekuja kunikomboa ktk utumwa Wa dhambi, nauishi wokovuWewe hivyo vitu unaviamini?
Kwa kuna upendeleo? Kabla ya kuja kwake kulikuwa hakuna ukombozi?Namwani Yesu kama mwokozi aliekuja kunikomboa ktk utumwa Wa dhambi, nauishi wokovu