Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa Kanisa Katoliki?

Unauliza maswali kama mtoto wangu anayejifunza kuongea.Nilishakueleza kuwa Yesu ni Mungu ni nafsi mojawapo katika Utatu Mtakatifu. Yohana 1:1-3 Anamwelezea kuwa ni Neno aliyefanyika mwili akaja kwetu.Huyo neno ni Mungu.

Sasa nijibu hapa....

Utatu Mtakatifu ni kitu gani...?

Yesu ni Mungu au si Mungu...?

Tunaposema "Mungu mmoja katika nafsi tatu unaelewa nini...???
 
Unauliza maswali kama mtoto wangu anayejifunza kuongea.Nilishakueleza kuwa Yesu ni Mungu ni nafsi mojawapo katika Utatu Mtakatifu. Yohana 1:1-3 Anamwelezea kuwa ni Neno aliyefanyika mwili akaja kwetu.Huyo neno ni Mungu.

Sasa nijibu hapa....

Utatu Mtakatifu ni kitu gani...?

Yesu ni Mungu au si Mungu...?

Tunaposema "Mungu mmoja katika nafsi tatu unaelewa nini...???
 
Otorong'ong'o,
Maskini vijana wa misale ya waumini wana shida.Huko kanisani mnafundishwa nini kama hata hujui Utatu Mtakatifu? Tatizo lenu mnajifanya mnajua wakati hamjui kitu, kwani tangu utoto mmekaririshwa misale na rozari tu.

Nilishasema na narudia Yesu ni Mungu, ndiye Bwana wa Mabwana na Mfalme wa Wafalme, yeye ndiye njia kwenda kwa Baba. Yu hai siku zote na ndiye hutyombea kwa Baba.Maria hana sifa ya kukiombea,alishakufa, amepumzika kama watakatifu wengine akisubiri ufufuo Yesu arudipo mara ya pili ili atupeleke nyumbani kwa Baba Mbinguni.
 
Hongera unayejua.Na sanamu ya maria inachukua nafasi gani kwenye utatu wenu unaoujua?

Sanamu ya Maria inatuonyesha na kutukumbusha mama wa Mkombozi wetu

Kwenye utatu mtakatifu, Mama Maria ndio Binadamu pekee aliye ishi na kuenjoy utatu mtakatifu wa Mungu, 1: Mimba yake ilikuwa ni kwa uwezo wa Roho mtakatifu, na aliambiwa mimba itatungwa baada ya kumpokea roho mtakatifu, na pia yeye ndie Binadamu wa Kwanza kumpokea Bwana Yesu, so kwenye utatu Mama maria ni kiungo kikubwa kati Mungu na Mwanadamu.

Mama Maria ni Sanduku la Agano, Sanduku la Agano ndilo liliokuwa linakaa Sheria alizopewa Musa, Na Yesu ndio Baba wa hizo Sheria na ndio Sheria yenyewe na alikaa ndani ya Mama Maria Mkingiwa wa Dhambi ya Asili,
kwenye Sanduku la Agano kulikuwa na Sanamu za Malaika wawili (makerubi) waliokuwa wanaangaliana Nyuso zao, na Mbawa zao ziklikuwa zinagusana na kila sanduku lilipokuwa linapita watu walikuwa wanasujudu, Je walikuwa wanazisujudia hizo Sanamu za Makerubi?

Wakatoliki tunapoona Sanamu ya Bikira Maria , tunalikumbuka Sanduku la Agano lililokuwa na Bwana wa Sheria (Yesu)
Napenda kusemaga hivi
KWA WAKATOLIKI BIKIRA MARIA SIO MUNGU, HASAMEI DHAMBI ILA NI BINADAMU WAKIPEKEE KABISA

jiwe la majiwe , Otorong'ong'o , MTAZAMO ,
 
Maskini vijana wa misale ya waumini wana shida.Huko kanisani mnafundishwa nini kama hata hujui Utatu Mtakatifu? Tatizo lenu mnajifanya mnajua wakati hamjui kitu, kwani tangu utoto mmekaririshwa misale na rozari tu
.Nilishasema na narudia Yesu ni Mungu, ndiye Bwana wa Mabwana na Mfalme wa Wafalme, yeye ndiye njia kwenda kwa Baba. Yu hai siku zote na ndiye hutyombea kwa Baba.Maria hana sifa ya kukiombea,alishakufa, amepumzika kama watakatifu wengine akisubiri ufufuo Yesu arudipo mara ya pili ili atupeleke nyumbani kwa Baba Mbinguni.

Jibu maswali hayo....Kwanini unachomekea mambo ya Maria..??
 
Nilishasema na narudia Yesu ni Mungu

Kama ulishasema...hii kauli ilikuwa ina maanisha nini..?
Yesu ni Mwana wa Mungu, ni Mungu Mwana katika Utatu Mtakatifu "Trinity"

Hapo kwenye rangi...
Mwana katika Utatu Mtakatifu ni kitu gani...? Kwamba Kuna Wana wengi ila Yesu ni mmoja wapo...?

Kwanini unajichanganya...?
 
Kama ulishasema...hii kauli ilikuwa ina maanisha nini..?


Hapo kwenye rangi...
Mwana katika Utatu Mtakatifu ni kitu gani...? Kwamba Kuna Wana wengi ila Yesu ni mmoja wapo...?

Kwanini unajichanganya...?
Huna hoja bora ukae kimya tu utaonekana una busara.
 
Huna hoja bora ukae kimya tu utaonekana una busara.
Hahahahahaha.....

Hujui maana ya Utatu Mtakatifu....Simpy Wasabato(SDA) hamjawai kuamini Utatu Mtakatifu, hamuamini Utatu Mtakatifu na kamwe hamtokaa kuamini Utatu Mtakatifu...

Period
 
Ningependa kujua umesoma vitabu gani na vingapi mpaka ukaja na the 'reasons' zilizomtoa Martin Luther of Germany kutoka ukatoliki...umegusa the subject kwa juu,umewaponda wakristo wengine kwamba hatuijui historia ya kanisa..(shaking my head) the days of Luther were the dark ages and ur short review has talked nothing about the courageous and remarkable man(God bless Him)..I quote you,eti 'hata hivyo madai yake mengi hayakuwa na msingi wowote'..says who? Says you!..well this is sadly hilarious.We unadhani mtu aliyesimama na kutoa madai ambayo yalitikisa kanisa katoliki siyo ya msingi?? Well,nadhani umekuja na hoja shallow Sana na pia the article is soo 'catholic biased'...please write another article about Luther at least watu watakuwa interested hata kukuchallenge.This is so cheap.
 
Well,nadhani umekuja na hoja shallow Sana na pia the article is soo 'catholic biased'...please write another article about Luther at least watu
Hebu wewe unayejua tuambie sababu ya Luther kupunguza vitabu 7 vya Biblia..

Tuambie sababu iliyompelekea kutaka kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...

Tupe sababu...
 
Hebu wewe unayejua tuambie sababu ya Luther kupunguza vitabu 7 vya Biblia..

Tuambie sababu iliyompelekea kutaka kuondoa vitabu vya Ufunuo, Yakobo na Waebrania...

Tupe sababu...
Unahangaika sana ndugu.Hii nguvu unayotumia kufuatilia hadithi za kutunga, ungeitumia kujiuliza kwa nini mnaabudu sanamu wakati Mungu amekataza, hilo lingekuwa la manufaa kwako na wenzako
 
Mkuu kwa hili huna data.... Martine hakuwa Askofu, alikuwa Padre na miongoni mwa sababu zilizomuondoa kwenye kanisa Katoliki ni hili la Uaskofu, alipinga hairakia ya Kanisa na vyeo kama Uaskofu, Upapa na mengineyo. Sema tu mengi aliyoyapinga aliishia kuayatenda akiwa kwenye kanisa lake. Mengine ni suala la Useja, hakutaka kabisa kulisikia na alipoondoka aliondoka na Mtawa wa kike aliyeishia kuwa mkewe.

Mambo ni mengi sana na yanahitaji muda wa kutosha. Lakini niseme tu kwamba "siyo kila alilolipinga lilikuwa baya" mengine aliyapinga kihalali kabisa japo njia aliyoitumia haikuhalalisha kitendo chake!!!

Pili, Biblia za wapeotestanti na wapentekoste zina vitabu 66 wakati biblia ya Wakatoliki ina vitabu 72. Hili lilitokana na kuwa baadhi ya yaliyomo kwenye vitabu hivyo (deuterokanoni) vinapingana na mafundisho yao. Sababu nyingi ni za kibinadamu tu!!! Hili lilikuwa rahisi sana kwake kwani suala zima la "Utaifa" liliingizwq kwenye huu mchakato wa Luther kujiondoa kanisa, matokeo yake kwa vile alikuwa Mjerumani, dhehebu lake likawa "dini dora" ya Ujerumani, katika hali kama hii, ni rahisi kwa uwezo wa kifedha kuchapisha Biblia zenye vitabi 66 na kuviondoa vile vingine!!!!

Martin alitaka kuoa, alitaka awe na watoto
 
Unahangaika sana ndugu.Hii nguvu unayotumia kufuatilia hadithi za kutunga,
Hadithi za kutunga kivipi...? Nani katunga..? Historia inatungwa...???

ungeitumia kujiuliza kwa nini mnaabudu sanamu wakati Mungu amekataza,
Nani anaabudu sanamu...? Unajua maana ya kuabudu...?
hilo lingekuwa la manufaa kwako na wenzako
Lingekuwa na manufaa kama umgejibu au kunipa ufafunuzi wa yale niliyokuuliza..

Umebaki unarukaruka kama kuku mwenye kideri...Utatu Mtakatifu hujanipa jibu, picha hujanipa jibu...
Nikikuuliza hiki unarukia hiki...hopeless
 
Back
Top Bottom