The_dexter
Member
- Aug 22, 2015
- 67
- 33
Ok unaweza ukanipa historia fupi ya biblia? Fupi tu uandishi na hata mpangiluo wake kiujumlaUkienda Kwa mwendo huu wa kukaririshwa huwezi Fika.umepotoshwa.
Ok unaweza ukanipa historia fupi ya biblia? Fupi tu uandishi na hata mpangiluo wake kiujumlaUkienda Kwa mwendo huu wa kukaririshwa huwezi Fika.umepotoshwa.
Unadhani ni kanisa gani..?Hiyo historia yakusoma niyakanisa lipi
Unadhani ni kanisa gani..?
Mtu akikuambia soma historia ya Kanisa na Church Fathers ujue amekuambia soma historia ya Kanisa Katoliki
MaccabeesHivi kitabu cha "wamakabayo " kwa umombo kinaitwaje?
Sema ulichojifunza kwenye hiyo clipNenda YouTube, tafuta documentary ya WHO WROTE THE BIBLE ? By Dr Robert Beckford, itakusaidia kujibu maswali yako yote, ila Jiandae mengine utakayogundua yatakushangaza sana, kila la heri!
Mengi sana mkuu,kama vile bible imekuwa edited several times, most biblical stories are baseless /fabricated, ni mengi yakushangaza kama utaweza Itafute ujionee mwenyeweSema ulichojifunza kwenye hiyo clip
Wasabato masalia wamesharudi kutoka Afghanistan walikoenda kuwahubiria All Qaeda?Hii mada ni pana sana,tembelea makambi ya wasabato wana majibu ya kina sana mkuu
Wataalamu wanasema hakuna dhehebu linaitwa Roman Catholic bali kuna The Catholic Church. na kweli hili ndilo tunaloliona huku mtaani. Unaona Kanisa katoliki na siyo Kanisa Katoliki la Roma.Unajua maana ya neno Catholic?...
Kama ulikua hujui anglikana nao wanaitwa Anglican Catholic, Orthodox Catholic, na ndiyo maana hakuna dhehebu linaloitwa Catholic ila lipo Roman Catholic.. nenda kasome maana ya Catholic