Kwanini Palamagamba Kabudi yupo nje ya Baraza la Mawaziri?

Mama alitangaza amempa kazi ya ushauri ofisini kwake ambayo ni muhimu kuliko huo uwaziri. Kwani hukumbuki?
 
Huyu huyu kabudi wa jalalani? Au unamaanisha yule aloenda Madagascar 🇲🇬 kuleta juice akasema ni dawa ya UVICO 19?
tafadhali mkuu
 
Sio lazima kila msomi awe waziri
 
Usaliti gani? Sasa umeona mama alivyoanza nduki kupinga mwelekeo wa kimagufuli? Kuweka wahuni kwenye nafasi nyeti ili kufanya upigaji.
 
Kabudi ana akili gani?. Kumwita mwanadamu Mungu au kukitukana chuo Cha UDSM kuwa jalala.
Hapo si misinformatio tu. Kupotosha tu kauli zake kwa kumuogopa msimamo wake wa kizalendo.
 
Ni kweli ana uwezo mkubwa....
Ni kweli ni mzalendo......

Ni kweli anazijua tunu za taifa....

Ila hataki kuzijua tunu za CCM....chama chetu kina mambo yake bora duniani.....na sote ni kutii juu ya hayo mambo.....

Lakini haitakiwi kuwa na "mipango hasi ya kisiasa dhidi ya boss.....

NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY BECAUSE IT IS UNFAIR TO THE KNOWLEDGEABLE
 
Hakuna Cha maana umeandika kumtetea huyo unaedai ana uwezo mkubwa sana..

Pili Ili mtu aoneshe uwezo wake kwani lazima awe ndani ya Hilo Baraza? Kwa Sasa unajua kazi anayofanya?

Mwisho ni ujinga mwingine kudhani Kila mtu lazima awe Waziri au Rais ndio aisaidie Nchi..
 
Kwani wewe huwezi ukamchagua kuwa waziri wa ukoo wenu?
 
Sa100 anapangiwa tu na kikwete na pia marehem benard membe ndo walikuwa washauri wake ukiuliza sababu za kumtoa lukuvi na palamagamba ndo utashangaa
 
Chief negotiator Mr kabudi alitusaliti kwenye kile kishika uchumba!! Njaa na elimu havikai pamoja!!
 
itakuaje wanaoondoa 'wasaliti' wakiondoka wao?
 
Huyo aliyetuaminisha nchi italipwa mapesa mengi na Barrick ambazo kila Mtanzania angeweza kupewa gari aina ya Noah halafu baadaye anakuja anakili mwenyewe kuwa kiasi hicho cha hela haikuwa hali halisi. Hafai.
 
Shida nyie mtu akiongea vizuri, mnajua ndio kipimo cha uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…