Kwanini Palamagamba Kabudi yupo nje ya Baraza la Mawaziri?

Kwanini Palamagamba Kabudi yupo nje ya Baraza la Mawaziri?

Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana.

Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la mawaziri. Mtu msomi ambaye ni hazina kubwa tunamtoa badala yake unaweka watafuta kwa nguvu nyingi uwaziri huku ni vilaza wakubwa na wachumia tumbo tu.

Sina haja kuwataja maana wanatajwa kila siku ila mama kwa sababu anazojua mwenyewe anawabeba kwa mbeleko.

Awamu ya tano Magufuli aliweza kuwaleta wasomi wazalendo wengi kwenye kazi za kisiasa na kitaaluma ili taifa liweze kunufaika. Kwamba siasa ni mchezo mchafu inafanya watu wengi weledi kutotaka kugombea nafasi za kisiasa na kubakia kwenye taaluma zao. Matokeo unakuta hawa waliyocheza mchezo wa kisiasa ndio wanaongoza nchi.
Akipewa uwaziri Huyo kabu muda si muda ataanza kumuita mama: "muheshimiwa" Mungu. Hatutaki ujinga huo. Kama vipi arudi jalalani
 
Nimemsikiliza mbunge Aidan Kabudi akichamgia mjadala bungeni muda sio mrefu. Hakika mchango wake ni bora sana.

Ninalotaka kusema hapa ni kwa nini mtu kama huyu mama amemuweka nje ya baraza la mawaziri. Mtu msomi ambaye ni hazina kubwa tunamtoa badala yake unaweka watafuta kwa nguvu nyingi uwaziri huku ni vilaza wakubwa na wachumia tumbo tu.

Sina haja kuwataja maana wanatajwa kila siku ila mama kwa sababu anazojua mwenyewe anawabeba kwa mbeleko.

Awamu ya tano Magufuli aliweza kuwaleta wasomi wazalendo wengi kwenye kazi za kisiasa na kitaaluma ili taifa liweze kunufaika. Kwamba siasa ni mchezo mchafu inafanya watu wengi weledi kutotaka kugombea nafasi za kisiasa na kubakia kwenye taaluma zao. Matokeo unakuta hawa waliyocheza mchezo wa kisiasa ndio wanaongoza nchi.
Una maana yule mjumbe wa yale mambo yetu Madagascar?
 
Acha uchawa, huyu ni msaliti, aliwasaliti Watanzania kuutumikai utawala dhalimu wa Magufuli kawa sehemu ya ukatili usiomithirika. Hafai kwa lolote. Ukishakuwa msaliti, hata ungelikuwa Albert Einstein tungelikupiga mawe.
Kwahiyo waliopo sasa ndio cream. Aisee
 
Kuna watu wakiwa nje ndio huwa Bora zaidi.

Wakiwa ndani wanakuwa wapumbavu.

Mmoja wapo ni profesa majalala
Ni kweli

Mfano mdogo tu mchukue Manara acheze mpira hata kama ni timu ya wazee wa rika lake uone
 
Kwani katiba inasemaje kuhusu ilo kiongozi? Tuanzie hapo kwanza
 
Huyo aliyetuaminisha nchi italipwa mapesa mengi na Barrick ambazo kila Mtanzania angeweza kupewa gari aina ya Noah halafu baadaye anakuja anakili mwenyewe kuwa kiasi hicho cha hela haikuwa hali halisi. Hafai.
Huwezi elewa kwa kua akili ndogo. Alikuambieni msioelewa kama wewe ule ulikua mkakati wa majadiliano. Hatimae barric walilipa kiasi fulani kikubwa na kukubali kuwekeana mkataba mpya ambao ni bora zaidi.
 
Back
Top Bottom