Kwanini pale mtu anapofariki huwa wanatoa nguo zake zote na kuzigawa?

Kwa namna fulani hivi unaonekana una hoja ila umejaa roho mbaya,ubinfsi na uchoyo. Yaani unaumia kabisa tu kupewa nguo za Marehemu eti kwa sababu alikuwa anatupia sana viwalo. Ukifa umekufa walio hai ndio wanaamua cha kufanya hasa ukizingatia mila, tamaduni na desturi za ukoo, familia ama jamii husika
 
Aisee hivi umefikiria vizuri? Kama umezaliwa peke yako katika familia unadhani ni wote? Mgao hufanyika kwa makubaliano ya watoto wa marehemu wenye haki ya kwanza ya kurithi. Kama umezaliwa peke yako waweza kufanya unavyopenda.
acha kabisa mkuu yani wanatokea watu ambao hata hujawahi kuwaona wanagawiwa tu bila hata kutia neno. nikikukumba yale ma wax ma viatu na mapochiii si ange kuja kuchukua mke wangu akashone au ndugu ambao niko nao kila siku si wange vaa.
 
Mbona vya baba yangu wanavaa kaka zangu na had leo nguo zingine ziko kabatini tena mpaka viatu na mtu amefariki anatimiza miaka 14 sasa.
Hata za baba yetu zipo hadi Leo...tukienda nyumbani tunajichagulia tshirts. Za kuwagaia watu zilipelekwa zile zilizochakaa. Wale wachaga lazima walinuna.
 
Hata za baba yetu zipo hadi Leo...tukienda nyumbani tunajichagulia tshirts. Za kuwagaia watu zilipelekwa zile zilizochakaa. Wale wachaga lazima walinuna.
sijui kama walizigawa mana nachokumbuka mie ilibidi nije kwenye 40 ya mzee skuwahi mazishi kabisa hivosjui kama ziligaiwa lakini kaka zangu zipo nguo wakizivaa najua kabisa hizi za baba
 
sijui kama walizigawa mana nachokumbuka mie ilibidi nije kwenye 40 ya mzee skuwahi mazishi kabisa hivosjui kama ziligaiwa lakini kaka zangu zipo nguo wakizivaa najua kabisa hizi za baba
Sisi ndugu zake walizidai...so mama akachagua maronya ronya akawapelekea wapambane nazo.
Kaka yetu bado anazivaa, Sie wakike tunafaidi t-shirts. Wajukuu nao wanapata bado...tukiendaga nyumbani tunajichagulia.
 
We fanya unachotaka hamna anaekununulia ugali.
 
Huwa ni kawaida kugawa kwa watoto,wajomba,mashangazi na hata wajukuu wa marehemu ili wabaki na kumbukumbu na kupokea kwako nguo za marehemu inaonesha kweli ulikuwa unampenda.
 
acha kabisa mkuu yani wanatokea watu ambao hata hujawahi kuwaona wanagawiwa tu bila hata kutia neno. nikikukumba yale ma wax ma viatu na mapochiii si ange kuja kuchukua mke wangu akashone au ndugu ambao niko nao kila siku si wange vaa.
Mkeo hapana. Mara zote ni ndugu wa ukoo basi.
 
Sisi ndugu zake walizidai...so mama akachagua marina ronya akawapelekea wapambane nazo.
Kaka yetu bado anazivaa, Sie wakike tunafaidi t-shirts. Wajukuu nao wanapata bado...tukiendaga nyumbani tunajichagulia.
duh watu bwana mlilie nguo za marehmu kwani hawanunui?? mama aliwakomesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…