Kwanini pesa za mauzo ya wachezaji wa simba zinaingia kwenye account ya mtu binafsi?

Moo ni mwizi, bilioni 20 hadi hii leo hajaweka hadharani lini alizitoa kwa Simba. Anatumia mapato ya Simba kuendesha klabu na ni makosa kwa mapato ya club kuwekwa kwenye account ya mtu binafsi. Akianguka na kufa hizo pesa ndiyo zimeenda na maji. Kuna haja kubwa ya kufanya ukaguzi wa financial statements za Simba kama zipo.
Majibu mepesi kwa swali lenye mantiki[emoji848][emoji848]
 
Pesa za mauzo zimeingia kwenye account ya mwekezaji. Labda ni kweli usemacho.

Je,umejiuliza pesa za kununua wachezaji wapya zinatoka kwenye account ya nani?
Hata kama account ya Mo ndio inayotoa pesa za usajili,wana Simba wana haki ya kuuliza kinachoingia,wana haki ya kujua mapato na matumizi ni muhimu.
 
Wanasimba tuamke simba yetu inadhalilishwa na matapel wanaojiita wawekezaji
Kwa kuwa simba ni timu ya umma sio mali ya mtu binafsi km mwekezaji anavyojaribu kuwahadaa mashabiki mbumbumbu
Ni kwamba pesa za wachezaji wa simba waliouzwa pesa zimeyeyuka wanaocheza na hii dili ni huyu tapeli anayejiita mwekezaji pmj na try again
Takukuru mpo wapi timu yetu inachezewa na Hawa wahuni nyie mmekaa kimya? mchukueni tupumue jamani ametuibia ataifilisi klabu akimbie nje ya nchi huyu mtu ni hatari kuendelea kukaa simba
Tunataarfa nyingi za ubadhirifu wa pesa za klabu tukianza na hii ya pesa za mauzo ya wachezaji kupotezwa na matapeli wanaojiita wawekezaji

[emoji23][emoji23][emoji23] imenibidi nicheke tu kwa kweli
 
Mimi ni mshabiki wa yanga lkn we ni chizi.....
nani anatoa hela za usajili kuboresha club!!!??
huyo huyo ndio apokee pesa wakati wa mauzo
 
Sasa naamin kwanini watanzania wengi hatuna ubunifu kwenye maisha.. sababu ni wavivu wa kufikir.. na kutafuta ukweli tunapenda sana kujadili umbea bila kutafuta credibility ya taarifa husika

Labda mniambie kuna taarifa ingine imetoka sijaiona, ila kama haya yote yanatokana na Mahojiano ya Magori na EFM. mie nimesikia akisema yafuatayo

aliulizwa swali la mtego na yule mtangazaji kama
ifuatavyo

Mtangazaji kauliza:-

"Mnasema Simba misimu ya nyuma imekuwa ikipata hasara. na sasa zipo taarifa mmeuza wachezaji kwa pesa nyingi mfano chama kauzwa 1.2b. na wachezaji wote waliosajiliwa na Simba had sasa manunuz inasemekana hayajazid 1.2b.. maana yake pesa ya Miq itakuwa faida au sio?"

Magori: Kajibu

"Kwanza mjue fedha yote usajili wa sasa hv haijatokana na mauzo ya wachezaj hawa maana kwenye mauzo ya wachezaj pesa zinalipwa kwa installments.. club huwa inasema italipa mara ngap na katika vipindi vingap.. kwa sasa bado simba hawajapokea kiasi chochote kile, hata installment ya kwanza kutoka club hiz.. maana kuna makubaliano.. kwa hiyo pesa ya usajili wa sasa ilishakuwepo kwenye Bajet wala sio hii..

kwa kuongezea walau Miq tulipokea ombi lake kutoka club inayomtaka miez 3 kabla so tulishajiandaa kisaikolojia kutafuta mbadala, Kwa
chama ni hivi karibuni tu ndo maombi yamekuja"

Sasa wabongo ambao hamtak kujishughulisha kuhoji kuwa taarifa za Simba fedha kuingia kwenye account binafsi zinatoka wap mnabaki kuwatukana maskin viongoz wa watu hebu jitafakarini

hivi mnajua maswala ya malipo ya fedha kimataifa baina ya nchi na nchi?.. yaan mngejua huonutaratibu ulivyo complex kuweza kuhalalisha pesa ziingizwe kwenye account binafsi ili hali mauziano yanahudiana kati club na club wala msingepiga kelele humu

Kama MO anahitaj kuchukua hizo pesa ni rahs kwake kuzichukulia zikiwa account ya Simba maana naamin yeye ni mmoja wa signatory kuliko zilipwe direct kwenye Account yake..

Hebu jitafakarini yule Sio mdhamin sasa hivi ni sehem ya Uongoz wa Simba so Ana manage account zote hana sababu ya pesa ziingie direct kwenye account yake wakat anaweza akazipangia matumiz anavyotaka zikiwa tayar kwenye account ya Simba

Hata kama mkisema some how kuwa ana makubaliano na Simba ya kujilipa hizo pesa sababu alimnunua yeye.. ni lazima ziingie kwenye acc ya Simba then ndo Simba itoe hizo pesa kwenda kwa MO kama malipo sio Zije direct kwenye account yake..

na hivi mnajua hizi pesa ni lazima ziwe na uangaliz wa BOT.. transaction kubwa kama hiyo lazima BOT wawe wanamonitor hv mnajua kuna KODI ya Serikali hapo, sasa niambie hiyo Kodi kwenye makaratasi itasomekaje ikiwa Simba hakitakuwa na record wao kupokea hayo Malipo.

Nafikir Elimu inatakiwa itolewe kwa wa wabongo sasa hv hiz club zinaendeshwaje.. bado tunaamin mfumo ni ule wa kina Manji au Azim Dewji
 
Wewe ni muhasibu wa simba? Duniani malipo mengi ya ada zq usajili yanafanyika kisheria kwa installments. Barcelona ni mufulisi wanadaiwa na timu mbalimbali zaidi ya euro 800m kama ada kutokana na usajili wa miaka ya nyuma, na wengi wa hao wachezaji walisha staafu na kuhama timu Coutinho, dembele, nk.
Kuna mchezaji emiliano sala alisajiliwa na cardif kwa paund 18m kabla hata hajafanya mazoezi na cardif wiki hiyo hiyo alipata ajali ya ndege akitokea ufaransa akafa na cardif walikuwa hawajalipa hata senti ila mkataba uliwabana walipe deni la kumsajili marehemu. Kuna paperwork na money transfer
Habari yako haina mahusiano, mo anaweka feza za mauzo kwenye acc yake,
 
Simba imekuwa kama taasisi ya umma kwamba kila mtu anahaki yakuhoji mapato na matumizi, 51% zimebaki tukanunue ili tuwe na nguvu yakudai taarifa za mapato na matumizi.
 
Habari yako haina mahusiano, mo anaweka feza za mauzo kwenye acc yake,
Wewe ni punguani,mauzo ni kati ya taasisi moja na nyingine,pesa italipwaje kwenye account ya mtu binafsi?!
Iyo taasisi itakayolipa itajazaje vitabu vyake vya hesabu
?! tatizo wengi shule hamna,wakati wenzenu wanasoma nyie mlikuwa nje mnapiga makelele.
Sasa ili mradi mmejua kusoma na kuandika ndio mnaanza kusumbua watu,na jukwaa linaonekana la wajinga.
 
Wanasimba tuamke simba yetu inadhalilishwa na matapel wanaojiita wawekezaji
Kwa kuwa simba ni timu ya umma sio mali ya mtu binafsi km mwekezaji anavyojaribu kuwahadaa mashabiki mbumbumbu
Ni kwamba pesa za wachezaji wa simba waliouzwa pesa zimeyeyuka wanaocheza na hii dili ni huyu tapeli anayejiita mwekezaji pmj na try again
Takukuru mpo wapi timu yetu inachezewa na Hawa wahuni nyie mmekaa kimya? mchukueni tupumue jamani ametuibia ataifilisi klabu akimbie nje ya nchi huyu mtu ni hatari kuendelea kukaa simba
Tunataarfa nyingi za ubadhirifu wa pesa za klabu tukianza na hii ya pesa za mauzo ya wachezaji kupotezwa na matapeli wanaojiita wawekezaji
Umesahau?! Si tulishauza timu kwa wahindi!
 
Hata kama account ya Mo ndio inayotoa pesa za usajili,wana Simba wana haki ya kuuliza kinachoingia,wana haki ya kujua mapato na matumizi ni muhimu.
Wanasimba wapi, acha kulisha watu maneno fanya kazi acha kushinda vijiweni unasubiria hisani, huna hisa pale unapigapiga kelele.
Mo piga kazi tupo na ww
 
Unaongelea kuhusu kuuza na za kununua huwa zinatoka akaunti ipi?
 
Sasa naamin kwanini watanzania wengi hatuna ubunifu kwenye maisha.. sababu ni wavivu wa kufikir.. na kutafuta ukweli tunapenda sana kujadili umbea bila kutafuta credibility ya taarifa husika

Labda mniambie kuna taarifa ingine imetoka sijaiona, ila kama haya yote yanatokana na Mahojiano ya Magori na EFM. mie nimesikia akisema yafuatayo

aliulizwa swali la mtego na yule mtangazaji kama
ifuatavyo

Mtangazaji kauliza:-

"Mnasema Simba misimu ya nyuma imekuwa ikipata hasara. na sasa zipo taarifa mmeuza wachezaji kwa pesa nyingi mfano chama kauzwa 1.2b. na wachezaji wote waliosajiliwa na Simba had sasa manunuz inasemekana hayajazid 1.2b.. maana yake pesa ya Miq itakuwa faida au sio?"

Magori: Kajibu

"Kwanza mjue fedha yote usajili wa sasa hv haijatokana na mauzo ya wachezaj hawa maana kwenye mauzo ya wachezaj pesa zinalipwa kwa installments.. club huwa inasema italipa mara ngap na katika vipindi vingap.. kwa sasa bado simba hawajapokea kiasi chochote kile, hata installment ya kwanza kutoka club hiz.. maana kuna makubaliano.. kwa hiyo pesa ya usajili wa sasa ilishakuwepo kwenye Bajet wala sio hii..

kwa kuongezea walau Miq tulipokea ombi lake kutoka club inayomtaka miez 3 kabla so tulishajiandaa kisaikolojia kutafuta mbadala, Kwa
chama ni hivi karibuni tu ndo maombi yamekuja"

Sasa wabongo ambao hamtak kujishughulisha kuhoji kuwa taarifa za Simba fedha kuingia kwenye account binafsi zinatoka wap mnabaki kuwatukana maskin viongoz wa watu hebu jitafakarini

hivi mnajua maswala ya malipo ya fedha kimataifa baina ya nchi na nchi?.. yaan mngejua huonutaratibu ulivyo complex kuweza kuhalalisha pesa ziingizwe kwenye account binafsi ili hali mauziano yanahudiana kati club na club wala msingepiga kelele humu

Kama MO anahitaj kuchukua hizo pesa ni rahs kwake kuzichukulia zikiwa account ya Simba maana naamin yeye ni mmoja wa signatory kuliko zilipwe direct kwenye Account yake..

Hebu jitafakarini yule Sio mdhamin sasa hivi ni sehem ya Uongoz wa Simba so Ana manage account zote hana sababu ya pesa ziingie direct kwenye account yake wakat anaweza akazipangia matumiz anavyotaka zikiwa tayar kwenye account ya Simba

Hata kama mkisema some how kuwa ana makubaliano na Simba ya kujilipa hizo pesa sababu alimnunua yeye.. ni lazima ziingie kwenye acc ya Simba then ndo Simba itoe hizo pesa kwenda kwa MO kama malipo sio Zije direct kwenye account yake..

na hivi mnajua hizi pesa ni lazima ziwe na uangaliz wa BOT.. transaction kubwa kama hiyo lazima BOT wawe wanamonitor hv mnajua kuna KODI ya Serikali hapo, sasa niambie hiyo Kodi kwenye makaratasi itasomekaje ikiwa Simba hakitakuwa na record wao kupokea hayo Malipo.

Nafikir Elimu inatakiwa itolewe kwa wa wabongo sasa hv hiz club zinaendeshwaje.. bado tunaamin mfumo ni ule wa kina Manji au Azim Dewji
Hawa wote kuanzia mleta mada ukiwafatilia ni vilaza shule hamna kutwa wanashinda vijiweni wanasubiri kukwapua, kuiba kuku za watu, chuma ulete au hisani.
Magalasa flani ya Utopolo zero brain Hata akili za kuvukia Barabara hamna.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Back
Top Bottom