Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Siyo kidole cha shahada ni Chanda ndipo ule msemo wa 'Chanda chema huvikwa pete'.Wanasema katika mkono wa kushoto kwenye kidole cha shahada kuna mshipa wa damu una kwenda moja kwa moja kwenye moyo..
Sent using my radio call over!!
Yaas mkuu nimechanganya madesaSiyo kidole cha shahada ni Chanda ndipo ule msemo wa 'Chanda chema huvikwa pete'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkono wa kulia ni kwaajili ya kulia chakula tu... Enzi hizoo hakukua na vijiko so Ingekua usumbufu kila ukitaka kula uvue pete..
Nazani umenipata Mkuu. The [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah we mzee ππKuna watu kwenye mshibobo Kuna Pete kwa usalama wa maisha ya Dada zenu
[emoji3][emoji3][emoji3] people are differentKuna watu kwenye mshibobo Kuna Pete kwa usalama wa maisha ya Dada zenu
π€£π€£π€£π€£π€£πππππππdah!Umefikaje huko kote na kaulizaa Pete ya kidole cha mkononi tu.....Kuna watu kwenye mshibobo Kuna Pete kwa usalama wa maisha ya Dada zenu
Mambo ya Pete ni utamaduni wa kigen mwanzo haukuwepo
Mm siijui thamani ya pete
Kwahiyo?Kauliza pete ya ndoa, si kila mtu ataijua thamani yake.