Kwanini pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto?

Kwanini pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto?

Wengi wetu tunajua na tunaona pete za ndoa zikivaliwa na wanandoa katika kidole cha pili kutoka mwisho, mkono wa kushoto.

Naomba nisaidiwe kujua, Je, ni kwa nini pete hiyo ya ndoa inavaliwa kwenye kidole hicho cha mkono wa kushoto na si kidole kingine kwenye mkono huohuo au mkono wa kulia?

Je, pete ya ndoa ina maana na umuhimu gani kwa wanandoa?
mkono mchafu mkono, uchafu mkono wa kushoto ndoa uchafu mkono mchafu.
 
Mambo Ni Mengi Sana
Usilolijua Ni Usiku Wa Giza Nene!!!

Kwa Anayejua Kuhusu Baadhi Ya Watu Hutumia Pete Zao Halafu Baada Ya Miaka Kupita Wengine Husema Naipeleka Kwa Sonara Ikasafishwe Hapo Kidogo Huwa Sipaelewi.

inakwenda Kusafishwa Nini? Kuondoa Aidha Mikwaruzo Ama Inakuwa Mpya?
Maana Pete Ya Dhahabu Hata Ikiwa Vp Uchafu Naona Mtu Akinawa Kama Ni Original Inang'aa

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜…๐Ÿ˜๐Ÿ˜€
Ama Kwa Sonara Inakuwa Kama Kiatu Inapakwa Kiwi Iwa Mpya
 
Miye nafikiri sbb wanawake wametoka upande wa kushoto wa Adam,
 
Wengi wetu tunajua na tunaona pete za ndoa zikivaliwa na wanandoa katika kidole cha pili kutoka mwisho, mkono wa kushoto.

Naomba nisaidiwe kujua, Je, ni kwa nini pete hiyo ya ndoa inavaliwa kwenye kidole hicho cha mkono wa kushoto na si kidole kingine kwenye mkono huohuo au mkono wa kulia?

Je, pete ya ndoa ina maana na umuhimu gani kwa wanandoa?
KWANI SABABU YA KUVAA PETE INAJULIKANA?
 
Back
Top Bottom