Mister mimi
JF-Expert Member
- Apr 29, 2018
- 358
- 649
●Vipi rais akifanya makosa?
●Wakuu wa mikoa na viongozi wengine nani anawakata points kwenye vyeo na vyeti vyao?
●nani anawakata points askari?
maana wao ndio maarufu kwa kula rushwa nchi hii bila uoga wala aibu.
Na wengine kwenye mengine.kwanini iwe madereva tu?
Sheria zipo;
Kama □kuonywa,
□faini,
□kufungiwa,
□kufutiwa leseni
□hata kufungwajela.
Hazina shida kwa kuwa zipo kwa kada zote.
□Kwanini points wasikatwe madaktari na watumishi wengine wanapofanya makosa katika kazi zao?
□wanasiasa waongo wasiotimiza ahadi zao je?
Sio unyanyasaji na ukandamizaji huu kwa madereva?
Maswali mengine ya kawaida tu kujiuliza ila wahusika hawana muda wakujiuliza ndio maana hufikia kutoa maamuzi ya hovyo yasiyo na tija wala usawa.
Aaagh changamoto!
Zingatia KULINDA MGONGO.Maana hali ni mbayaaa