Pre GE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

Pre GE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa

TAFAKURI:
Kwa nini Jeshi la Polisi hawajawahi kukanusha taarifa hii ya uhusika wa Mafwele na maafande wengine kwenye sakata la utekaji nyara na hata kuua raia hovyo?

SAMIA MUST GO
Ulisikia wapi fisi aliye sadikika kukamata mwana mbuzi huyo hyo fisi apewe jukumu la kumtafta huyo mwana mbuzi …….. unacho jaribu kisema ni kwamba mimi nikupige wew alafu mimi ndo nichunguze sababu za mmi kukupiga …. Uliona wapi
 
Sativa kaandika hivi toka kwenye page yake ya Mtandao wa X (Twitter)

Screenshot_20240912_153654_X.jpg

View: https://x.com/Sativa255/status/1833932430795063617?t=x4b_gnxoEXPPK1bQiyuB3A&s=19
 
Back
Top Bottom