LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 9,006
- 14,536
Halafu ana jitokeza mtu mmoja mwenye tamaa ya uwaziri badala ya kudeal na taarifa zilizo tayari ati ana sema mwenye taarifa apeleke ili zifanyiwe kazi.Huu ni uzi wa maelezo ya kijana SATIVA (katika mtandao wa X) namna alivyomtambua Mafwele kwenye sakata lake la jaribio la kuuawa lililoshindikana - Boniface Jacob: Sativa amemtambua ACP Faustine Mafwele miongoni mwa askari waliomhoji Oysterbay alipotekwa
TAFAKURI:
Kwa nini Jeshi la Polisi hawajawahi kukanusha taarifa hii ya uhusika wa Mafwele na maafande wengine kwenye sakata la utekaji nyara na hata kuua raia hovyo?
SAMIA MUST GO
Masauni must goo