Pre GE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

Pre GE2025 Kwanini Polisi haijibu tuhuma alizotoa Sativa juu ya Faustine Mafwele kuhusika kwenye utekaji wake?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu Sativa bila kumung'unya maneno ametamka wazi kuwa mhusika wa yeye kutekwa ni Mafwele. Nadhani Mafwele hajapewa hizi Taarifa kuwa kuna mtu anamchafua.

Aambiwe ili huyu dogo akamatwe apelekwe Mahakamani kumsafisha Mafwele.
 
Interesting 🤔
Yule ndugu akiambiwa athibitishe kama aliyo yachapisha kwenye kurasa zake za mtandao kua ni kweli, unadhani nini kinatokea kama sio huyo mafwele kuitwa mahakamani, na shahidi namba moja wa kumtambua mafwele ni sativa ambae alimuona na anauhakika nae maana yeye ni muhanga wa huyo mafwele
 
Hiyo kesi ya bonny kuna mahala ikifika lazima huyo mafwele afike mahakani ndio hapo na sativa ataenda kumthibitisha na hapo ndio kila mmoja ataondoka na haki yake hiyo subiri uive bw mdogo
Cross-examination
 
Wenye MIDHAMBI yao wakiongea alafu wakitoka kutenda midhambi wanakwenda kwenye nyumba za ibada wanamuomba Mungu wawasamehe Dhambi zao!

 
Back
Top Bottom