ThisisDenis
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 162
- 139
Simple to answer, si wanailinda ibaki madarakani.Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokua waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua ??
Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi kwa ujumla siwaelewi hawa watu kwa ngazi yoyote ile.
Kwa sababu wewe na mimi ni kizazi kisichokuwa na maadili. Polisi hawezi kukukamata kama hauna kosa.Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokua waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua ??
Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi kwa ujumla siwaelewi hawa watu kwa ngazi yoyote ile.
Uzi ufungweKwa wafugaji wa mbwa wanafahamu jinsi mbwa aliyefunzwa ni mnyenyekevu na mtii kwa bwana wake anayemlisha na kumpa mahitaji yake, vivyo hivyo kwa polisi ni watii kwa watawala tu na wengine wanawaona kama manyani.
Siku huyo mbwa ataanza kumbwekea mwenye mbwa, basi ujue ameanza kulishwa na mwingineKwa wafugaji wa mbwa wanafahamu jinsi mbwa aliyefunzwa ni mnyenyekevu na mtii kwa bwana wake anayemlisha na kumpa mahitaji yake, vivyo hivyo kwa polisi ni watii kwa watawala tu na wengine wanawaona kama manyani.
Hakika na ndivyo hivyo.Siku huyo mbwa ataanza kumbwekea mwenye mbwa, basi ujue ameanza kulishwa na mwingine
Ila sina nyingine naongelea mbwa tu hapa
Hivi TRA hakuna rushwa hukoWanapenda wafanane na wafanyakazi wa tra