Kwanini Polisi ni wala rushwa sana na Serikali inawaacha?

ThisisDenis

Senior Member
Joined
Apr 14, 2013
Posts
162
Reaction score
139
Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokuwa waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua??

Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi kwa ujumla siwaelewi hawa watu kwa ngazi yoyote ile.
 
Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokua waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua ??

Simple to answer, si wanailinda ibaki madarakani.
 
Mie nkamatwapo bora nitoe 5k ama 10 k kuliko kuandikiwa 30k ya kosa

Kisha nkifika kituo cha mafuta ile 20k ilobakia naongezea mafuta kisha najisifu angalau meokoa 20k niloongezea mafuta kwa kapasso kangu
 
Hii inatia hasira kwa wananchi japo wananchi wanaonekana kucheka nao na kula nao ila wakati huwa ni mgumu sana kwa Polisi wote haijalishi ana cheo gani anapo staff. Ubadhilifu na kutokua waaminifu katika mazingira ya kazi ni nani hasa anawakingia kifua ??

Course zao ni mbovu au mfumo wao. Mimi kwa ujumla siwaelewi hawa watu kwa ngazi yoyote ile.
Kwa sababu wewe na mimi ni kizazi kisichokuwa na maadili. Polisi hawezi kukukamata kama hauna kosa.
 
Kwa wafugaji wa mbwa wanafahamu jinsi mbwa aliyefunzwa ni mnyenyekevu na mtii kwa bwana wake anayemlisha na kumpa mahitaji yake, vivyo hivyo kwa polisi ni watii kwa watawala tu na wengine wanawaona kama manyani.
 
Uzi ufungwe
 
Siku huyo mbwa ataanza kumbwekea mwenye mbwa, basi ujue ameanza kulishwa na mwingine
Ila sina nyingine naongelea mbwa tu hapa
 
Sa100 alisema watumishi wa umma wale kwa urefu wa kamba zao ila wasivimbiwe.

Kumbuka polisi ndio walinda mabox ya kura za wizi.
 
Kwa sababu watu walio wengi wanavutiwa kuingia polisi ili wale rushwa. Siku zao za mbeleni wakishaingia jeshini inategemeana na jinsi wataweza kupata nafasi zenye rushwa kubwakubwa. Kutokana na hivyo ni vigumu sana kupambana na rushwa kwenye polisi.

Ikitokea kiongozi kama alivyokua magufuli ndio rushwa inaweza kupungua lakini sio kumalizika.
 
Kwa sababu ya kukutisha kama unaipenda hela yako utailinda usifanye kosa
 
Back
Top Bottom