Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Nimemsikiliza kamanda Mtafungwa akizungumzia kwamba Polisi awatatoza faini madreva wanaovunja sheria Bali watawakamata kuwaweka mahabusu na kuwapeleka mahakamani wafungwe. Najiuliza sheria ya usalama barabarani inasemaje? Kwa sababu ukisoma sheria utagundua makosa haya yanahitaji kifungo au ni minor offence?
Mawazo ya kufunga watu badala yakuweka mifumo yakudhibiti ajali yanapelekea jeshi kutumia nguvu nyingi kuliko maarifa. Tujiulize Dreva nayetoka na gari dar kwenda Singida amepishana na trafiick wangapi? Hao trafick walishindwa Nini kubaini kwamba uendeshaji wake ni mbovu hadi tusubiri ajili ndipo tutoe recommendations?
Nadhani watu wa kwanza wanaopaswa kufungwa ni maaskari trafic wanaopokea mlungula; basi linasimamishwa Kila kituo na lazima pesa itoke. Mabasi mengine dreva anafunga kabisa pesa Kwenye vigazeti; akikutana na trafic anaangusha chini then anaendelea na safari Kisha trafic kuchukua vikaratasi. Je hii mbinu Mtafungwa anaifahamu? Lini amewahi kukamata trafic wa aina hii?
Mimi nadhani exposure inaweza ikasaidia trafic WETU, wapelekwe darasani then wapate displays za namna wenzetu NJ wanavyocontrol safari barabarani watagundua mbinu za kufunga watu zilikoma siku nyingi.
They need to invest in technology, umezidisha speed automatically unapigwa picha na kupokea ujumbe wa faini bila kusemeshwa. Wakiweka huo utaratibu displine itakuwepo kwa sababu ukiwa rafu Kwa siku unapokea bili hata ya milioni na ukizingua idadi ya faini inapelekea kufungiwa leseni au gari kufungiwa lisisafiri