NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Haswaa.Buster ktk age kama ya huyo , pressure ni kama kumsukuma mlevi.
Nashauri wazee wenzangu kuridhika na zawadi aliotupa Mungu (uzee)
Odhis *
Kwenye kupiga pumbu mapigo ya moyo uwa yanabadilika na ukizingatia binti damu bado inachemka,lakini pia umri wa uyu babu kama ulivyosema maradhi ya sugar,pressure n,k ni yakufikia tu.