Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Buster ktk age kama ya huyo , pressure ni kama kumsukuma mlevi.

Nashauri wazee wenzangu kuridhika na zawadi aliotupa Mungu (uzee)

Odhis *
Haswaa.
Kwenye kupiga pumbu mapigo ya moyo uwa yanabadilika na ukizingatia binti damu bado inachemka,lakini pia umri wa uyu babu kama ulivyosema maradhi ya sugar,pressure n,k ni yakufikia tu.
 
Haswaa.
Kwenye kupiga pumbu mapigo ya moyo uwa yanabadilika na ukizingatia binti damu bado inachemka,lakini pia umri wa uyu babu kama ulivyosema maradhi ya sugar,pressure n,k ni yakufikia tu.
Uzee huambatana na magonjwa mengi sana
 
Wakificha wazee wengi watakata moto guest house bora walivyoweka wazi ili wazee wastuke kwamba booster,viagra,mkongo ni hatari.

Sasa ulitaka polisi wadanganye kwamba alifia hospital? Je na yule mwanammke aliyekuwa naye watamshikilia kwa kigezo kipi kama wakisema alifia hospital? Unajua issue za kimahakama? Polisi wangetamka kama Dr Davis alifia hospital basi Binti asingewekwa hatiani(ndani) ingebidi aachiwe,sasa hapo hauoni kama familia ya Dr Davis ingekosa haki yao ya kujua kilichomuua baba/babu/mjomba wao?
 
Kusoma hujui? Aliyekuwa na humo ndani kasema alikuwa mpenzi wake. Wewe unaleta stori za sijui business partner.

Sasa si ndo u partner wenyewe huo sasa? Kama umeo/olewa then ukawa na mahusiano ya siri nje hio ni biashara ya Uasherati/Uzinzi.
 
Sasa ulitaka polisi wadanganye kwamba alifia hospital? Je na yule mwanammke aliyekuwa naye watamshikilia kwa kigezo kipi kama wakisema alifia hospital? Unajua issue za kimahakama?
Mbona majambazi wakiuwawa hawatajwi majina?...
 
Wakificha wazee wengi watakata moto guest house bora walivyoweka wazi ili wazee wastuke kwamba booster,viagra,mkongo ni hatari.
Mbona watoa rushwa wanatangazwa na TAKUKURU lakini bado hizo rushwa zinaendelea? Kwanini wasingesema tu mzee wa miaka 80 amekufa hotelini.............pasipo kutaja majina yao?...
 
Polisi wangetamka kama Dr Davis alifia hospital basi Binti asingewekwa hatiani(ndani) ingebidi aachiwe,sasa hapo hauoni kama familia ya Dr Davis ingekosa haki yao ya kujua kilichomuua baba/babu/mjomba wao?
Kwanini wataje majina hadharani? Mbona majambazi huwa hawatajwi?
 
Mbona watoa rushwa wanatangazwa na TAKUKURU lakini bado hizo rushwa zinaendelea? Kwanini wasingesema tu mzee wa miaka 80 amekufa hotelini.............pasipo kutaja majina yao?...

Wanaokufa hotelini 99% wanakuwa na MILUPO huku wakitumia viagra,booster,mkongo!! Mbona sijawahi kusikia mwanamke akifia Guest?
 
Wanaokufa hotelini 99% wanakuwa na MILUPO huku wakitumia viagra,booster,mkongo!! Mbona sijawahi kusikia mwanamke akifia Guest?
Kwanini wataje majina hadharani? Mbona majambazi huwa hawatajwi majina kwenye media baada ya kufa?
 
Polisi wasingetangaza, ndg wa marehemu wangejuaje kama ndg yao amefariki dunia? Polisi wasingekuwa wawazi katika mkasa huu, huoni kama wangekuja kugeuziwa 'kibao' kwamba wanahusika kwenye kifo hicho, ama wanamlinda muuaji? Hiyo pesa tu tsh 37,000/= aliyokutwa nayo marehemu, tayari baadhi ya watu wanahisi ilikuwa ni zaidi ya hiyo, ila polisi wameipunguza.
 
Polisi wasingetangaza, ndg wa marehemu wangejuaje kama ndg yao amefariki dunia?
Ndugu wa marehemu ndio wanaopaswa kuitwa kituoni na kupewa taarifa. Sisi wengine inatusaidia nini tukijua?...
 
Polisi wasingekuwa wawazi katika mkasa huu, huoni kama wangekuja kugeuziwa 'kibao' kwamba wanahusika kwenye kifo hicho, ama wanamlinda muuaji?
Kuna haja gani ya kuwataja majina wahusika ambao ni mtu na mpenzi wake?
 
Hiyo pesa tu tsh 37,000/= aliyokutwa nayo marehemu, tayari baadhi ya watu wanahisi ilikuwa ni zaidi ya hiyo, ila polisi wameipunguza.
Hilo la pesa ni suala lako binafsi ila mimi ninazungumzia kwanini wamemdhalilisha mstaafu huyu wa miaka 80?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…