Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Yeye mwenyewe alishindwa kujifichia aibu yake, sisi ni nani sasa
 
Hao Polisi bora walivyosema ukweli kama wangeongopa huenda hilo zigo wangwetwishwa wao maana wananuka kwa lawama zisizowahusu.
Walipaswa kuficha majina ya wahusika kama wanavyoficha majina ya majambazi.
 
Ndio taratibu ,majambazi hawatajwi probabily kuna wengine labda walikimbia au waliokamatwa wanamtandao mkubwa hivyo wakitaja wanaweza wakaharibu upelezi/uchunguzi wa kuwakamta mtandao wao.
Huyu mzee pia jina lake lilipaswa kufichwa ili kutoidhalilisha familia yake pamoja na wajukuu.
 
Ile matini (document) iliyozunguka mitandaoni ni ya kiofisi ambayo haikuwa vyema sana isomwe na kila mtu.

Ni vyema wakubali (polisi) waliteleza na wahusika wawajibike japokuwa kimoyo-moyo.
Kama watu walivyowajibika katika ile "operation tokomeza"
 
Kutangaza tukio ni taratibu za kipolisi lakini sio kilatukio litatangazwa au kutotangazwa.akuna rai itakayokubaliwa kuacha kutangaza kwa kuogopa kutoa aibu ya mtu/watu au marehemu.
Mbona gari ya JWTZ ilipogonga bus la mwendokasi Polisi hawakutaja number ya gari ile mpaka leo?...
 
Tukio kama la uyu mzee ni la aina yake la mzee kumla tunda kimas-khara mjukuu wake lakini pia na uhai wa babu umepotea kwenye mazingira ya sintofahamu.
Hii ni aibu ambayo familia pekee walipaswa kufahamu na sio umma wote wa watanzania
 
Kuna aibu zakujitakia iasee.
Mimi binafsi nimpenzi sana wakula tunda ila ntafika pahala nafanya maamuzi kama ni wake zangu wawili au mmoja basi natulia.
Hii ni aibu ambayo familia pekee walipaswa kufahamu na sio umma wote wa watanzania
Unajua binadamu tumepewa akili na inapaswa tuzitumie akili zetu vyema eti. sikwambii kwa mzee kama yule ambae akupaswa kufanya michezo ya kipuuzi.
ukishafika zaidi ya miaka 40 unatakiwa kuzitumia akili zako vyema zaidi.
Kila umri wako unaposegea basi hekma na busara ziwe maradufu.
 
Kwenye nchi zinazofuqtq haki nansheria Polisi walitakiwa kushitakiwa na watu waliohusika kuwajibishwa.

Wameshindwa kazi ya kuficha faraghabya marehemu.

Kwa mtaji huu, Polisi wamejionesha hawatunzi siri.

Hata informers wataogopa kupeleka habari Polisi kwa kuhofia habari zao zinaweza kuvuja.
 

Tajiri,viongozi,watu mashuhuri,wasanii .ni vioo vya jamii lakini maskini ndio wa kutangazwa kwenye vioo
 
Umepatia mkuu.
Ni kweli yule mzee alistahili heshima hata kama alikuwa ameenda mpango wa kando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…