Mzee wa miaka 80 lazima uwe na matatizo ya moyo; lakini pia, uwezo wa kusex unakuwa umepungua sana, kwamba, ukiwa na tabia ya kupenda vimwana, tena hawa wa kisasa na kujiremba kwao, lazima utashawishika kuji-boost kwa "vumbi la kongo" ili "umfaidi mtoto". Watoto wenyewe ukakutana hana busara akakuchukulia kama kijana kwa kujitoa akufurahishe ili akuchune vizuri; kosa! Lazima moyo utasimama upende usipende. Niliwahi ponea chupuchupu, yaani, tuseme ni Mungu tu alininusuru na mauti siku hiyo. Hawa wajukuu zetu na mitindo yao wanayojifunza kupitia pornography, ni hatari.
Hata hivyo, kuijulisha jamii si mbaya kwa ajili ya kujifunza na kuchukuwa tafadhali.