Una uhakika kuwa Kuna viongozi wakubwa wana shutuma Kama hizi na hawakusemwa?Ukisema hivi, uliwahi sikia wapi hapa nchini kiongozi mkubwa mwenye shutuma kubwa akatangazwa hadharani pale inapobainika alifanya jambo hilo?
Mantiki ni kuwa siyo kila taarifa ya kisheria itatolewa hadharani unless iwe ya kimaadili
Mi binafsi yangu polisi wameshindwa katika jambo hili hasa ktk utoaji wa Taarifa
Hujui lolote kaa kimya! Huoni kuwa Ni tukio lilifanyika nje ya familia yake? Na linahitaji uchunguzi wa kisheria?Wanamtolea nani taarifa? Hana familia?
Hahahhaa!Tenganisha jeshi na dini,jeshi la polisi linaendeshwa kwa Sheria PGO,hayo mambo ya kunukuu vitabu vya dini inapaswa uwe unatoa unapozungumzia masuala ya dini sio masuala ya serikali isiyo na dini Inakuwa ni irrelevant reference
Mfano mmoja tu, ni Ile shutuma ya Waziri mstaafu Kapuya.Ukisema hivi, uliwahi sikia wapi hapa nchini kiongozi mkubwa mwenye shutuma kubwa akatangazwa hadharani pale inapobainika alifanya jambo hilo?
Mantiki ni kuwa siyo kila taarifa ya kisheria itatolewa hadharani unless iwe ya kimaadili
Mi binafsi yangu polisi wameshindwa katika jambo hili hasa ktk utoaji wa Taarifa
Mbona mwaka jana mtoto wa ndugu yangu alikufa hostel ya chuo lakini Polisi hawakutangaza katika media?Hujui lolote kaa kimya! Huoni kuwa Ni tukio lilifanyika nje ya familia yake? Na linahitaji uchunguzi wa kisheria?
Angefia kwake hapo polisi wasingehangaika, ila kafia guest house unataka polisi wasifuatilie?
Hizi ni dalili za ku-panic na kukosa hojaHujui lolote kaa kimya!
Mbona mwaka jana 2020 January mtoto wa ndugu yangu alikufa hostel ya chuo lakini Polisi hawakutangaza katika media?Mwisho kifo cha kutatanisha polisi hutoa taarifa ya chanzo cha tukio na mazingira ya tukio na ndivyo polisi walichofanya
Kwanini watangazie umma baadhi ya matukio na mengine wanayaacha? Ipo wapi hekima ya kuwa Polisi?Sioni kosa la polisi hadi sasa
Assessment yako ni nzurilabda uwezo wangu wa kutafakali bado upo chini. Taarifa ya mzee huyo imetrend kwa sababu zifuatazo
1. Umri wa mzee na binti bado ni chanzo cha taarifa kuonekana ni taarifa ya wiki kwa umaarufu.
2. Mazingira ya kifo chake ni chanzo cha taarifa kuonekana ni bora na inashawishi kila mmoja kuijua na kusema chochote.
3. Kwa wanaojua familia yake na kilichotokea bado hawaamini ila mazingira yameaminisha.
4. Aina ya mrembo ambae babu alikuwa anatafuna ikiwa kama mjukuu kama sio kitukuu.
Kwani waliovujisha ni Polisi? Polisi tusiwasingizie. Wakati mwingine mimi huwa anapenda sana polisi maana hawana kuficha maneno! Kwenye makaratasi ya0 wanaandika mpaka kabila lako!Sasa kuchunguza ni lazima uvujishe mtandaoni?
Unajua tatizo kubwa la Wazee wa aina hii ni ile dhana potofu kwamba kufurahia sex ni lazima amtie demu bao moja au mbili, jambo ambalo linawapelekea kutafuta buster. Ukushavuka 70 yrs lazima ubadili sex techniques... Kama una uwezo wa kumpata mtoto mbichii, chuchu saa 6 tumia muda mwingi kwa foreplay/romance, tena kabinti ndiyo kawe kanakuchezea /chezea mashine /kula koni etc huku mzee akikapiga finger kwa clitoris, nipples kiasi kwamba binti atafika kileleni hata bila penetration na Mzee mashine ikichezewa vizuri ata ejaculated fresh kabisa na ku enjoy bila ya madhara yoyote. Sex is very broad, kuwa chumbani na ka demu kakaliii kakiwa naked na kukachezea mpaka kakakojoa mara 2 au 3 is so exciting and pleasurable....Mzee wa miaka 80 lazima uwe na matatizo ya moyo; lakini pia, uwezo wa kusex unakuwa umepungua sana, kwamba, ukiwa na tabia ya kupenda vimwana, tena hawa wa kisasa na kujiremba kwao, lazima utashawishika kuji-boost kwa "vumbi la kongo" ili "umfaidi mtoto". Watoto wenyewe ukakutana hana busara akakuchukulia kama kijana kwa kujitoa akufurahishe ili akuchune vizuri; kosa! Lazima moyo utasimama upende usipende. Niliwahi ponea chupuchupu, yaani, tuseme ni Mungu tu alininusuru na mauti siku hiyo. Hawa wajukuu zetu na mitindo yao wanayojifunza kupitia pornography, ni hatari.
Hata hivyo, kuijulisha jamii si mbaya kwa ajili ya kujifunza na kuchukuwa tafadhali.
Ni kweli, ni swala la muda tu ila zitafichukaHata wewe na mimi tunazo zetu
Kwani hao Police kama binadamu hawatendi dhambi?Polisi wanaongozwa na Biblia au Quran?
Mwanaume wa miaka 40 sio mzee mstaafu...Mimi nafikiri ingekua mwanaune miaka 40 mwanamke miaka 33 wala isingekua habari kubwa yangeisha siku hyo hyo...
Hakika yatupasa kuungamaNi kweli, ni swala la muda tu ila zitafichuka