Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

Umejing'atang'ata tu hakuna ulichoandika, hivi unaijua sheria wewe ni lazima taarifa zote ziwe wazi, utawadanyaje wananchi wanamjua marahemu amekufa kwa lipi, kwa kifupi wazee waanze wenyewe kujitathimini na kujilindia heshima hiyo wao wenyewe hakuna haja ya kuchepuka katika umri wao huo zaidi ya kutulia na wake zao na watoto wao na wajukuu
 
kwa kifupi wazee waanze wenyewe kujitathimini na kujilindia heshima hiyo wao wenyewe hakuna haja ya kuchepuka katika umri wao huo zaidi ya kutulia na wake zao na watoto wao na wajukuu
Mbona hata wewe unazo dhambi na unazijua na Mungu wako. Kuna mtu hachepuki lakini anakula rushwa. Hii sio dhambi?
 
Hawa wazee wanapenda sana booster,,wanasahau lishe Bora na mazoezi pia ni booster Bora kabisa ya sex drive regardless your age.Waache kutumia booster,ila wabadilishe lifestyle waanze kuwa na mazoezi na chakula Bora kwa afya zao na nguvu mujarabu.
 
Vizee kama hivyo vinajitengezeaga mazingira ya kurudisha namba kwa sir God vyenyewe..

Sa miaka 80 Kanataka kunyandua mdada mdogo .
Bora hata angekuwa wa mkoani huyo mzee
Wa mjini mpka vumbi la mundende ..atawezaje ikiwa vijana wao dar huko nao mpka mundende..

Neema wangu umeniacha Mimi mwana wa NYANGE
 
Wao hawatendi dhambi?
Wanatenda dhambi lakini pia na ualifu wanafanya.
Askari anaefanya uhalifu akibainika anakamatwa na tunaona kwenye vyombo vya habari.
Sasa kama askari muhalifu na mtenda dhambi akikamatwa afichwi,anatangazwa na tunaoana iweje kwa habari ya raia ifichwe?
 
Mkuu, sheria siku zote haipo straight ndio maana kule mahakamani kuna wazee wa baraza. Kwanini ni wazee wa baraza na sio vijana wa baraza?

Mtoto wa ndugu yangu alifia hostel mwaka jana lakini hakutangazwa, kwanini?
 
Kwani aliwaambia Polidi kuwa anaenda gesti???

Yeye mwenyewe kajiaibidha. Acheni upuuzi usio na maana.

Miaka 80 ni ntu wa kwenda gesti na mjukuu wake?????

Kila mtu atavuna alichopanda

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mbona hata wewe unazo dhambi na unazijua na Mungu wako. Kuna mtu hachepuki lakini anakula rushwa. Hii sio dhambi?
Hivi ni lazima uchepuke ndiyo uwe mwanaume una umri gani kijana, hivi pia ni lazima wote tuchepuka ili kuendana na hoja zako, sio lazima kila mtu achepuke haijakua kanuni, wazee umri umewatupa watulie na wake zao, kama hana mke basi atafute wa size zao, ni sawa sawa na wewe kumendea watoto wa primary that's not fair
 
Unashauri askari wasichunguze uwezekano wa foul play katika hichi kifo? Namna pekee hizo details zinaweza kupuuzwa ni kutoangalia uwezekano wa foul play unless toa ushauri ni vipi watachunguza yet jamii na familia isipate hizo details.
Tatizo ni weledi, hili swala polisi wangeweza ku deal nalo bila kulianika kwenye vyombo vya habari na kulifanya kubwa.
 
Kuna taarifa sio za kutoa kwa umma. Busara na usiri ni moja kati ya miiko ya taaluma ya kuwa Polisi...
Hakuna sheria ya hivyo, hakuna kanuni inayolinda kutoa taarifa za mauaji otherwise swala lipo mahakamani kuficha uchunguzi, mdogo wnagu hebu jaribu kuwaza ki Profesional acha bangi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…