Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
We huwezi kuwa MtanzaniaKukazwa ndio nini boss?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We huwezi kuwa MtanzaniaKukazwa ndio nini boss?
Tukio la kusikitisha hilo mkuu na sio la kusisimuaTukio lake ni la kusisimua zaidi
Polisi wamemshikilia kwa mahojiano zaidi. Hiyo ni kawaida kwa matukio ya namna hiiKwani binti ndio muathirika ?
Mbona wamemweka lupango?
Kwa hiyo nyie mnataka sisi tuwasifie tu siku zote kuwa mnatulinda vizuri sisi na mali zetu lakini mkikosea hamtaki kukosolewa?...Kwahio unatupangia jinsi ya kutekeleza majukumu yetu?
Huyo mzee angekuwa anaye mtoto OCD mngemtaja jina?Kila mtu ni sawa mbele ya sheria, awe mzee au kijana akifanya mambo ya hovyo ataripotiwa na ndio utaratibu.
Kapuya alioa ila huyu mzee yeye hakuona. Hauoni kama kuna tofauti hapo?Mbona Kapuya alipooa kabinti ka miaka 25 mlitangaziwa wala hakukuwa na shida.
Kuoa na kutokuoa kuna tofauti kubwa sana mzee babaAmekufa mstaafu wa enzi ya mkapa juzi ambaye pia alioa kabinti kadogo ile ni sawa ila hii mnataka tufiche?
Kupitia uzi huu ninawakumbusha Polisi kutumia hekima katika kushughulikia masuala yahusuyo wazeeWe mwenyewe umeshindwa kuificha picha yake .... kupitia uzi wako bado unazidi kumchoresha Mzee wa watu
Amen. Kumbe huyu mzee alikuwa ni Dr? Nilikuwa sijui hili aiseeTuache na goba yetu ,apumzike kwa Amani dokta ,na Neema tunamtakia Maisha ya wokovu sasa
Doooh aisee Goba imekuwa GobaTena wote ni wakazi wa Goba
Yes, haikuwa na ulazima wowote tena ukizingatia na umri wa mtu mzee wa miaka 80Kufuatilia ni lazima, kujitangaza hadharani sio lazima.
Mbona na wewe unatendaga dhambi kwa namna zingine? Alafu unamuita marehemu "mpumbavu" ona sasa ulivyo mtu wa ajabu.Sasa afe kwa upumbavu wake halafu polisi wafiche ili iweje?!
Askari waseme yote wanayoyasema lakini kwanini wataje majina yao? Mbona ndugu yangu alikufa lakini Polisi hawakutangaza?Yaani askari wasemeje sasa kuwa alianguka barabarani au alienda guest kulala tu akapata shida ya moyo?!
Ni aibu sana kwa mke lakini zaidi kwa watoto na wajukuu kwa maana wao bado wana umri mrefu zaidi wa kuwepo hapa duniani na kuendelea kunyooshewa vidole na walimwengu.Hasa hasa kama alikuwa anamke. Maana huyo mke anaanzaje kuomboleza? Shida tupu.
Hakika ni kukosa elimu na hekimaHao wanaotetea polisi hawelewi kanuni za msingi za kikatiba za presumption of innocence and right to privacy.
Ni kukosa elimu tu.
Matukio ya namna hii yapi ?Polisi wamemshikilia kwa mahojiano zaidi. Hiyo ni kawaida kwa matukio ya namna hii
Sawa mkuuMatukio ya namna hii yapi ?
Kisheria unashikiliwa masaa 24 kama ni mshukiwa wa jinai. Sio kiholela holela tu kwa mahojiano zaidi.
Mahojiano zaidi kwani ametoa mwimbo mpya ?
Jamii imesema mwanamke ndio muathirika. Muathirka mbona kakamatwa?
Kwanini nikuamkie wakati wewe mwenyewe unaniita bro?Siku hizi bro ndio uamkii tena??