Kwanini Polisi wameanza kufanya kazi za Trafiki?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Tofauti na tulivyozoea, polisi kitengo cha trafiki wenye uniform nyeupe ndio wawe wanashugulika na mambo ya magari, kwa sasa polisi wa vitengo vingine wanaingia barabarani kufanya kazi za matrafiki.

Mbaya zaidi inaonekana wazi lengo ni kucheza mchezo uleule wa matrafiki!
 
Wana umuhimu Mkubwa hivyo kujazana barabarani au pia wanatakiwa kuwathibiti panya road!?
 

Njaa hiyo wako kwenye kula kwa urefu wa kamba zao
 
sasa kama ofisini hamna kazi na majambazi hawapo Unataka wale mshahara bure tu kijana
 
IGP mpya suruali zimempwaya

jambo la kushangaza vibaka mtaani wameongezeka na polisi wameacha majukumu yao
 
Huku panya road wanasumbua, polisi wanajazana barabarani kutega ya brashi...
 

Bora ukutane na huyo wa kushoto siyo hiyo n*'ombe nyingine hapo:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…