Kwanini polisi wanapenda sana kujipost mitandaoni?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nauliza tu mbona wao sio kama wale wa TPDF kidogo picha kidogo kujisifia
IMG_0413.jpeg
 
Military combat ni prestigious garment for hardened few humans. Picha zake mtu hawezi piga kujivunia bega hilo. Sana sana matukio maalumu kama kuapishwa kwa kupanda cheo kwa staff officers au kustaafu na ishu zingine za kitaifa.
 
Umeona sasa hawa si mkubwa si mdogo anapost
 
Amezoea kutangaza injili kupitia uimbaji, naona hata hapo Kinehe hajionei shida yoyote.
 
Back
Top Bottom