Chinese are proven to be spineless and worst virus around.
Leo asubuhi karibia vyombo vyote vya habari vimeandika juu ya ujio wa wachunguzi wa mambo ya milipuko na mabomu huko Arusha, wakitokea China. Kwangu binafsi nililipokea kwa furaha, lakini furaha yangu ilianza kuingiwa kiwewe pale Jeshi letu lilipoonesha kuwa tayari wanajua nini matokeo yatakayotolewa na makomandoo hao.
Je, tutaaminije taarifa zao kama hazitakuwa zimetengenezwa na serikali na wao wakaletwa kama mawakala wao na vipaza sauti tu wa kutoa taarifa iliyoandaliwa?
TAFAKARI
Kabla haijatokea tayari mipango ilishapangwa huko China chini ya Kinana na Mwigulu,kwa hiyo yanayoendelea
ni utekelezaji wa kile walichokipanga huko na hao wachina,hakuna la maana la kusubiri hapo
Leo asubuhi karibia vyombo vyote vya habari vimeandika juu ya ujio wa wachunguzi wa mambo ya milipuko na mabomu huko Arusha, wakitokea China. Kwangu binafsi nililipokea kwa furaha, lakini furaha yangu ilianza kuingiwa kiwewe pale Jeshi letu lilipoonesha kuwa tayari wanajua nini matokeo yatakayotolewa na makomandoo hao.
Je, tutaaminije taarifa zao kama hazitakuwa zimetengenezwa na serikali na wao wakaletwa kama mawakala wao na vipaza sauti tu wa kutoa taarifa iliyoandaliwa?
TAFAKARI
Nimeshangazwa sana na taarifa zilizozagaa kuanzia jana kuwa kuna wachunguzi kutoka nje wamekuja kuchunguza chanzo cha mlipuko wa bomu arusha.Mwanzoni kabisa walisema ni FBI wamekuja.Ghafla leo tunaambiwa ni wachina wamekuja kuchunguza chanzo cha milipuko au kutafuta wahusika wa milipuko hiyo.
Lakini suala la kujiuliza ni kwamba hao wataalamu kutoka china wanatafuta waliolipua bomu au aina ya bomu lililolipuka?
Pili ni kwamba kuleta wataalamu kutoka chini kwa nionavyo ni expensive kuliko kuunda tume huru ya kijaji kuchunguza tukio hilo.Kwa nini serikali haitaki kuunda tume huru na wanatumia polisi ambao ni watuhumiwa katika kuchunguza.
Nahisi wachina wameletwa kwa ajili ya kuua usshahidi au kutengeneza mazingira ya kuwahusisha watu fulani na milipuko hiyo.
Kuna kigugumizi gani kuunda tume katika tukio la arusha?
Ikumbukwe pia mwigulu na kinana wamezuru china hivi karibuni,kuna uwezekano mkubwa wanaoitwa wataalamu wa kichina ni mamluki walioandaliwa rasmi kuvuruga ushahidi arusha.
Hebu tujiulize kwa nini polisi wanashangilia sana ujio huu na kwa nini mkuu wa mkoa wa arusha amegeuka kuwa msemaji mkuu wa maendeleo ya uchunguzi arusha badaka ya polisi wenyewe.Tusubiri
Watanzania, kama hatuachi hizi tabia za kitu kutoka nje, basi kitakuwa na solution. Hivi mchina atachunguza nini? Tushajua bomu lilinunuliwa kwao na ni la kijeshi. Tushajua polisi walipiga watu risasi kusudi mrushaji akimbie. Sasa mchina atwambie nini? Mnataka aseme aliyerusha ni jirani ya nani au alikuwa amevaa viatu fulani?Wachina nao watu basi.....hamna watu nisio waamini kama wachina....mtaona tu....lakin CCM pia si walikuwa wamepiga kambi huko kitambo kidogo...?
hata mi nmeshtuka hasa baada ya polisi kufurahia sana ujio wa wasanii wa kichina...Hakuna wachunguzi hapo.this is just another game as usual!
Stering wa kichina safari hiiTamthilia hiyo