Kwanini Polisi wetu washangilie ujio wa wachunguzi wa Kichina hata kabla ya matokeo?

Kwanini Polisi wetu washangilie ujio wa wachunguzi wa Kichina hata kabla ya matokeo?

Mbinu ni moja tu. Mchina aseme aliyetupa alivaa kombati, ili chadema wakurupuke kuutoa huo ushahidi waliukalia, tuuone. Wasipoutoa tutasema ni wao mpaka watautoa tu kwa ghadhabu. Ndipo tutauharibu. Ushauri, cdm kama kweli mnao ushahidi, Pelekeni Aljazeera. Wale hawamwogopi mtu. Lakini chonde chonde Lema na Mbowe. Nyendo zenu, hata sisi tunazo. Tutauchukua kable haujaoneshwa
 
Matokeo yaweza kuwa kama bidhaa bandia kutoka China! Hawana rekodi nzuri za haki za binadamu. Kule kwao wanawafanyia raia wao kama CCM inavyowafanyia raia wake hapa kwetu.
 
hii nchi iko na mambo ya kipuuzi, wizara ya mambo ya ndani inafanya kazi kutokea Beijing. Umasikini wa akili ni kitu mbaya sana, hivi lini tutawekeza sawasawa kwenye elimu ili tupate viongozi wanaofikiri sawasawa. Hii nchi sasa hakuna jambo lolote inaweza kufanya yenyewe.
 
Mkuu kwenye elimu tulishashindwa wanafunzi wenyewe hawa wanaokariri na kufaulu kwa mizengwe sijui. Labda tulete wawekezaji ili wawekeze kwenye elimu. Mfumo mzima wa elimu unapswa kufumuliwa na kuanza kusukwa upya.
 
Back
Top Bottom