Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu magazeti yetu bila research ya kutosha wanasema ni FBI ndo wamekuja hiyo yote ni kutengeneza ushahidi
kuishi tz ni kuona mengi.kachelo wa kichina kuchunguza mlipuko wa bomu wa arusha..........bila shaka wameokotwa kariakoo...ni mtazamo tuLeo asubuhi karibia vyombo vyote vya habari vimeandika juu ya ujio wa wachunguzi wa mambo ya milipuko na mabomu huko Arusha, wakitokea China. Kwangu binafsi nililipokea kwa furaha, lakini furaha yangu ilianza kuingiwa kiwewe pale Jeshi letu lilipoonesha kuwa tayari wanajua nini matokeo yatakayotolewa na makomandoo hao.
Je, tutaaminije taarifa zao kama hazitakuwa zimetengenezwa na serikali na wao wakaletwa kama mawakala wao na vipaza sauti tu wa kutoa taarifa iliyoandaliwa?
TAFAKARI
Kuna jamaa alisema jana kuwa kama tumeamua kukaa na Mwameroka- Obama tukae nae na kama tumeamua kukaa na Mchina tuamuae mioja lakini hili la kuwatumikia mabwana wawili wenye interest tofauti nchi yetu inaweza akawa kama DRC lakini Mungu aepushie mbaliLeo asubuhi karibia vyombo vyote vya habari vimeandika juu ya ujio wa wachunguzi wa mambo ya milipuko na mabomu huko Arusha, wakitokea China. Kwangu binafsi nililipokea kwa furaha, lakini furaha yangu ilianza kuingiwa kiwewe pale Jeshi letu lilipoonesha kuwa tayari wanajua nini matokeo yatakayotolewa na makomandoo hao.
Je, tutaaminije taarifa zao kama hazitakuwa zimetengenezwa na serikali na wao wakaletwa kama mawakala wao na vipaza sauti tu wa kutoa taarifa iliyoandaliwa?
TAFAKARI
Kwangu binafsi nililipokea kwa furaha, lakini furaha yangu ilianza kuingiwa kiwewe pale Jeshi letu lilipoonesha kuwa tayari wanajua nini matokeo yatakayotolewa na makomandoo hao.
........Ni kweli mkuu wachina nao ni watu wa mbinu chafu sana....na kwani tuwaamini WACHINA kwani wao ndo kina nani..?Watanzania, kama hatuachi hizi tabia za kitu kutoka nje, basi kitakuwa na solution. Hivi mchina atachunguza nini? Tushajua bomu lilinunuliwa kwao na ni la kijeshi. Tushajua polisi walipiga watu risasi kusudi mrushaji akimbie. Sasa mchina atwambie nini? Mnataka aseme aliyerusha ni jirani ya nani au alikuwa amevaa viatu fulani?
Tujiulize tuliokwishajua tumeyafanyia nini? Bahati mbaya CCM huwa ina tabia moja. Kama kitu wamekifanya wao, hata kama ni kibaya..huwa hawawajibishi mtu. Ila wanaomba sana na hata kulazimisha kitendo kiovu kifanywe na mtu wa Chadema. Mchina hawezi kutupa taarifa zaidi ya tunayoyajua. Nina wasi wasi wanataka kupindisha hili tukio kwa kutumia wachina. Nikumbushe tu kwamba China ni taifa mojawapo kati ya mataifa yasiojali haki za binadamu. Sishangai kutumiwa na CCM.
Huo ndio ukweli ccm na polisi baada ya kuona ukweli unadhihirisha kuwa wamehusika kuwalipua wanachi na kuwauwa wameibuka na wachunguzi wa kichina. Yaani hapa ni kichina china. Fake as original fake. There is no investigation there.Watanzania, kama hatuachi hizi tabia za kitu kutoka nje, basi kitakuwa na solution. Hivi mchina atachunguza nini? Tushajua bomu lilinunuliwa kwao na ni la kijeshi. Tushajua polisi walipiga watu risasi kusudi mrushaji akimbie. Sasa mchina atwambie nini? Mnataka aseme aliyerusha ni jirani ya nani au alikuwa amevaa viatu fulani?
Tujiulize tuliokwishajua tumeyafanyia nini? Bahati mbaya CCM huwa ina tabia moja. Kama kitu wamekifanya wao, hata kama ni kibaya..huwa hawawajibishi mtu. Ila wanaomba sana na hata kulazimisha kitendo kiovu kifanywe na mtu wa Chadema. Mchina hawezi kutupa taarifa zaidi ya tunayoyajua. Nina wasi wasi wanataka kupindisha hili tukio kwa kutumia wachina. Nikumbushe tu kwamba China ni taifa mojawapo kati ya mataifa yasiojali haki za binadamu. Sishangai kutumiwa na CCM.
acheni dora ifanye kazi kuingilia kazi ambazo hazituhusu siyo busara.