Dora ipi mkuu? Hii iliyo onesha udhaifu kwenye ujio wa Obama?acheni dora ifanye kazi kuingilia kazi ambazo hazituhusu siyo busara.
Mkuu kwenye elimu tulishashindwa wanafunzi wenyewe hawa wanaokariri na kufaulu kwa mizengwe sijui. Labda tulete wawekezaji ili wawekeze kwenye elimu. Mfumo mzima wa elimu unapswa kufumuliwa na kuanza kusukwa upya.hii nchi iko na mambo ya kipuuzi, wizara ya mambo ya ndani inafanya kazi kutokea Beijing. Umasikini wa akili ni kitu mbaya sana, hivi lini tutawekeza sawasawa kwenye elimu ili tupate viongozi wanaofikiri sawasawa. Hii nchi sasa hakuna jambo lolote inaweza kufanya yenyewe.