Kwanini pombe huwa ni chungu na zina harufu mbaya?

Nimekunywa pombe kwa muda zaidi ya miaka 20 mfululizo,. NIKABAINI POMBE HAINA FAIDA YEYOTE KTK MAISHA YA MWANADAMU.

"Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi" YOHANA 8:34

Unywaji wa pombe ni utumwa, kama ulivyo utumwa mwingine wa dhambi.
 
Kwanini pombe huwa zina harufu kali na ladha ya uchungu? Kwanini ile harufu kali husaidia nini kwenye pombe?
Na ile ladha mbaya na chungu imewekwa ili iweje? Au ndio inaongeza nguvu za kiumeni?
Ungewatag walevi waje wajibu haya maswali mm mwenyewe nataka kujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…