Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
AmenNimekunywa pombe kwa muda zaidi ya miaka 20 mfululizo,. NIKABAINI POMBE HAINA FAIDA YEYOTE KTK MAISHA YA MWANADAMU.
"Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi" YOHANA 8:34
Unywaji wa pombe ni utumwa, kama ulivyo utumwa mwingine wa dhambi.