Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Mkuu sio pombe zote ni chungu na harufu kali,Kwanini pombe huwa zina harufu kali na ladha ya uchungu? Kwanini ile harufu kali husaidia nini kwenye pombe?
Na ile ladha mbaya na chungu imewekwa ili iweje? Au ndio inaongeza nguvu za kiumeni?
Kifupi ni kwamba hapa duniani kuna pombe za aina zote, chungu tamu, zenye harufu kali, zenye harufu iliyopoa nk
Haya mambo sio ya kukariri.....
Eid Mubarak
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app