Kwanini pombe huwa zina harufu kali na ladha ya uchungu? Kwanini ile harufu kali husaidia nini kwenye pombe?
Na ile ladha mbaya na chungu imewekwa ili iweje? Au ndio inaongeza nguvu za kiumeni?
Mkuu sio pombe zote ni chungu na harufu kali,
Kifupi ni kwamba hapa duniani kuna pombe za aina zote, chungu tamu, zenye harufu kali, zenye harufu iliyopoa nk
Haya mambo sio ya kukariri.....
Eid Mubarak